الموضوع: Hakika Ya Dhati Ya Allah Ni Kitu Adhimu Nae Ni Adhimu Zaidi Sana Kwa Kila Kitu Ambao Ni Adhimu, Kwajili Ya Hivo Haikuweza Kuhimili Kuona Dhati Ya Allah Jabali Ambalo Ni Adhimu..

1

Hakika Ya Dhati Ya Allah Ni Kitu Adhimu Nae Ni Adhimu Zaidi Sana Kwa Kila Kitu Ambao Ni Adhimu, Kwajili Ya Hivo Haikuweza Kuhimili Kuona Dhati Ya Allah Jabali Ambalo Ni Adhimu..

- 3 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - شعبان - 1435 هـ
02 - 06 - 2014 مـ
07:43 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )


Hakika Ya Dhati Ya Allah Ni Kitu Adhimu Nae Ni Adhimu Zaidi Sana Kwa Kila Kitu Ambao Ni Adhimu, Kwajili Ya Hivo Haikuweza Kuhimili Kuona Dhati Ya Allah Jabali Ambalo Ni Adhimu..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Wote Na Watu Wao Walio Wazuri Na Walio Wafwata Kwa Haki Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..


Na ewe kadhim ewe ambae ni dhalimu ju ya Nafsi yake, Hakika tumekujibu kabla siku ulip kua wataka kutayarisha yale unayo yataka wakati ulipo taka kujua nini litakua jibu la Al'imam Nasser Muhammad kwa wanao lingania kutoamini Mungu na hivo mbinu kutoka kwako ili ujitayarishe kujibu ili uvishe haki kwa batili, Kwa hali zote iwe wewe ni kadhim ama albahith anilbayina basi kitu muhimu kua wewe wajua kwamba sisi twajua wewe ni nani basi hawafichiki kwetu watu mfano wako, Na la muhimu zaidi kusmamisha hoja ju yako kwa haki na haki nasema kwa idhini ya Allah Al3adhim katika Dhati Yake Ju Ya kila kitu Adhimu:


Basi wala haitoweza kuhimili kuona uwadhimu wa Dhati Ya Allah Subhanahu Ametukuka ispokua Kitu Mfano Wake na hakuna kama mfano wake kitu katika viumbe vake wote itakavo kua ni adhimu, Na wakati Alipo Mpa Fatwa Allah Mja Wake na Mtume Wake Musa Ju Yake Sala Na Salam ambae amemuliza Mola Mlezi Wake Kuona Dhati Ya Mola Mlezi Wake wazi wazi alfu kisha Akmpa Fatwa Allah hakika wewe hutoniona. Na Suali ambalo lajiweka lenyewe: Na je Anakusudia Allah kua Yeye hato'ona Dhati ya Mola Mlezi wake kwakua Yeye Allah sio Kitu katika uwepo Subhanahu Ametukuka? Na jibu mutalipata kwenye ilio wazi maana yake kitabu kua sababu ni kwamba Musa hatomona Mola Mlezi wake kwakua Nabi Wa Allah Musa ju yake sala na salam hatoweza kuhimili kuona uwadhimu wa Dhati Ya Mola Mlezi Wake Subhanahu! Na Akmweleza Nabi Wake kua Yeye Atatokezea Kwa Dhati Yake Kwa Jabali ambalo ni Adhimu basi likitulia Jabali ambalo ni adhimu pahala pake mbele ya kuona uwadhimu wa Dhati Ya Allah Basi Utaniona, Nakariri Kauli; Basi likitulia jabali ambalo ni adhimu pahala pake mbele ya kuona uwadhimu wa Dhati Ya Mola Mlezi basi hapo atamona Nabi wa Allah Musa Mola Mlezi wake kwakua Allah Anaweza kufanya uwadhimu wa waja kama uwadhimu wa viuma mpaka waweze kuhimili kuona uwadhimu wa Dhati Ya Allah , Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Kwa Nabi Wake Musa:
.
{قَالَ لَن تَرَانِي وَلَٰكِنِ انظُرْ إِلَى الْجَبَلِ فَإِنِ اسْتَقَرَّ مَكَانَهُ فَسَوْفَ تَرَانِي} [الأعراف:143 Alaaraf:143].


Lakini ikiwa hawu'kuweza kuhimili jabali ambalo ni adhimu kuona Uwadhimu wa Dhati Ya Allah basi vipi ataweza kuhimili kuona Uwadhimu wa dhati ya Allah mtu dhaifu? Basi hatoweza kuhimili kuona Uwadhimu wa Dhati Ya Mola Mlezi ispokua Kitu Mfano Wake, Na hakuna mfano wake kitu katika viumbe vake wote na Yeye Mwenye Kusikia Mwenye Kuona Na yajulikana ki lugha na istilahan kua (Atajali) inakusudiwa nayo ni kutokezea. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
[COLOR=#008000]
{وَالنَّهَارِ‌ إِذَا تَجَلَّىٰ ﴿٢﴾}[الليل]
Yani imedhihiri ikaonekana. Na Tunachunguza kutokana na Hayo: Kua "Atajali" Kutokezea inakusudiwa nayo kudhihirika kitu, Kwajili ya hivo tuangalieni katika matokeo baada Kutokezea Dhati Ya Mola Mlezi kwa jabali ambalo ni adhimu nini imetokea na je limetulia pahala pake? Na jibu Amesema Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا تَجَلَّىٰ رَبُّهُ لِلْجَبَلِ جَعَلَهُ دَكًّا وَخَرَّ مُوسَىٰ صَعِقًا ۚ فَلَمَّا أَفَاقَ قَالَ سُبْحَانَكَ تُبْتُ إِلَيْكَ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُؤْمِنِينَ (143)} صدق الله العظيم [الأعراف].[Alaaraf 143 ]


Basi Pe lelezeni na mutafakari Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala: .

{وَوَاعَدْنَا مُوسَىٰ ثَلَاثِينَ لَيْلَةً وَأَتْمَمْنَاهَا بِعَشْرٍ فَتَمَّ مِيقَاتُ رَبِّهِ أَرْبَعِينَ لَيْلَةً ۚ وَقَالَ مُوسَىٰ لِأَخِيهِ هَارُونَ اخْلُفْنِي فِي قَوْمِي وَأَصْلِحْ وَلَا تَتَّبِعْ سَبِيلَ الْمُفْسِدِينَ (142) وَلَمَّا جَاءَ مُوسَىٰ لِمِيقَاتِنَا وَكَلَّمَهُ رَبُّهُ قَالَ رَبِّ أَرِنِي أَنظُرْ إِلَيْكَ ۚ قَالَ لَن تَرَانِي وَلَٰكِنِ انظُرْ إِلَى الْجَبَلِ فَإِنِ اسْتَقَرَّ مَكَانَهُ فَسَوْفَ تَرَانِي ۚ فَلَمَّا تَجَلَّىٰ رَبُّهُ لِلْجَبَلِ جَعَلَهُ دَكًّا وَخَرَّ مُوسَىٰ صَعِقًا ۚ فَلَمَّا أَفَاقَ قَالَ سُبْحَانَكَ تُبْتُ إِلَيْكَ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُؤْمِنِينَ (143)} صدق الله العظيم. [Alaaraf 142-143]


[COLOR=#0000ff][SIZE=5]Na kama vile tumethibitisha kutoka kwa ilio wazi maana yake kitabu kua inao kusudiwa kwa neno la "Tajali" yani kudhihiri na kua; Mfano wa kauli Ya Allah Ta3ala
{وَالنَّهَارِ‌ إِذَا تَجَلَّىٰ ﴿٢﴾} صدق الله العظيم.
Kisha Tunajua kwa ilimu ya yakini kua "atajali" ni kutokezea kwa Kitu, Basi nini imefanyika kwa jabali pamoja yakua jabali ni kitu adhimu? Lakini Uwadhimu Wa Dhati Ya Allah Ni Mukubwa zaidi kwa utafauti hauna mpaka nao! Kwajili Ya Hivo Haikuweza Kuhimili Jabali ambalo ni adhimu kuona Uwadhimu Wa Dhati Ya Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala: .
{وَلَمَّا جَاءَ مُوسَىٰ لِمِيقَاتِنَا وَكَلَّمَهُ رَبُّهُ قَالَ رَبِّ أَرِنِي أَنظُرْ إِلَيْكَ ۚ قَالَ لَن تَرَانِي وَلَٰكِنِ انظُرْ إِلَى الْجَبَلِ فَإِنِ اسْتَقَرَّ مَكَانَهُ فَسَوْفَ تَرَانِي ۚ فَلَمَّا تَجَلَّىٰ رَبُّهُ لِلْجَبَلِ جَعَلَهُ دَكًّا وَخَرَّ مُوسَىٰ صَعِقًا ۚ فَلَمَّا أَفَاقَ قَالَ سُبْحَانَكَ تُبْتُ إِلَيْكَ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُؤْمِنِينَ (143)} صدق الله العظيم.
Na imebainika kwenu kua Uadhimu Wa Dhati Ya Allah Ni Kitu Adhimu kuliko kila kitu, Na Wala haitoweza kuhimili kuona Uwadhimu Wa Dhati Ya Allah ila Kitu ambao ni sawa na Uadhimu Wake Subhanahu Ametakasika! Na Hakuna Kama Mfano Wake Kitu Katika Viumbe Vake Na Wala Hakuna Kabla Yake Kitu Katika Uwepo; Hakuna Mola ispokua Yeye Wala Mwenye Kuabudiwa Ila Yeye.


Na Twatoka kwa natija kua Allah Ni Kitu Adhimu Hakuna kama mfano wa Uadhimu Wake Kitu Katika viumbe Vake, Kwajili Ya hivo haikuweza kuhimili jabali adhimu kuona Dhati ya Allah Al3adhim Subhanahu Ametakasika! Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala: .
{وَلَمَّا جَاءَ مُوسَىٰ لِمِيقَاتِنَا وَكَلَّمَهُ رَبُّهُ قَالَ رَبِّ أَرِنِي أَنظُرْ إِلَيْكَ ۚ قَالَ لَن تَرَانِي وَلَٰكِنِ انظُرْ إِلَى الْجَبَلِ فَإِنِ اسْتَقَرَّ مَكَانَهُ فَسَوْفَ تَرَانِي ۚ فَلَمَّا تَجَلَّىٰ رَبُّهُ لِلْجَبَلِ جَعَلَهُ دَكًّا وَخَرَّ مُوسَىٰ صَعِقًا ۚ فَلَمَّا أَفَاقَ قَالَ سُبْحَانَكَ تُبْتُ إِلَيْكَ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُؤْمِنِينَ (143)} صدق الله العظيم.


Basi angalia katika kauli Ya Allah Ta3ala:

{فَلَمَّا تَجَلَّىٰ رَبُّهُ لِلْجَبَلِ جَعَلَهُ دَكًّا}صدق الله العظيم.
Na je jabali limevurujika vurujika kutokamana na bila Kitu Katika uwepo! Ama ni kua Amejionesha Allah kutokezea kwake kwa Dhati Yake Ambao ni Adhimu Akalivurunyuwa? Na nakariri na nasema: Hakika ya kutokezea (atajali) ki lugha na istilahan ni kudhihirika Kwa Haki ama kuona Kitu, Na ilio muhimu kua atajali kudhirika inakusudiwa nayo kudhihirika kitu kwa kitu kingine hakuna shaka wala utetanishi. Na huyo hapo sisi twasmamisha hoja ju yako kwa mara ingine na tunayo ya zaidi katika utawala wa ilimu ilio wazi maana yake tunaichunguza kwenu kwa idhini ya Allah kutoka kwa ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim, Na Atakae Basi Amini Na Atakae Basi Akufuru, Na Hukmu Ni Ya Allah Na Yeye Ni Mwepesi Wa Kufanya Hisabu.
Na kuhusu kuzuru makaburi, Basi ikiwa kuzuru kwa lengo la kumombea dua mwenye kaburi kwa kumtakia Rahma na kum'mombea maghfira basi hakuna ubaya kwa hayo, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَا تُصَلِّ عَلَىٰ أَحَدٍ مِّنْهُم مَّاتَ أَبَدًا وَلَا تَقُمْ عَلَىٰ قَبْرِهِ ۖ إِنَّهُمْ كَفَرُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَمَاتُوا وَهُمْ فَاسِقُونَ (84)} صدق الله العظيم [التوبة:84]. ] Atawuba 84]
Na tunachunguza kutokana na hayo kujuzu kuwaombea dua wenye makaburi ispokua asiwe katika mashetani watu, Ama Kuzuru kwa kutawasali kwa watu wema kuwaomba pasi na Allah basi hio ndio shirki na hakika wao hawawasiki kwakua wao ni wamekufa sio hai miyili yao kwasababu kuondoka roho zao, Na hata kama wamewasikia hawangewajibu kwenu na siku ya kiyama watakufuru kwa shirki yenu kwa kuwaomba wao pasi na Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:.
{وَالَّذِينَ تَدْعُونَ مِن دُونِهِ مَا يَمْلِكُونَ مِن قِطْمِيرٍ‌ ﴿١٣﴾ إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُ‌ونَ بِشِرْ‌كِكُمْ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ‌ ﴿١٤﴾} صدق الله العظيم [فاطر].[Fatir. 13-14].

[COLOR=#0000ff][SIZE=5]Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَالَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ لَا يَخْلُقُونَ شَيْئًا وَهُمْ يُخْلَقُونَ (20) أَمْوَاتٌ غَيْرُ أَحْيَاءٍ ۖ وَمَا يَشْعُرُونَ أَيَّانَ يُبْعَثُونَ (21)}صدق الله العظيم [النحل].[ AlNahl 20-21 ]

Na hakika mimi nakuona ni katika wanao lingania makafiri kwa kutoamini kwa uwepo Wa Allah na katika wanao lingania waumini Kumshirikisha Allah, Na Hasbi Allah kwa kila maenye kuzuwia kwa njia ya Al3aziz Alhamid na anaitaka kombo na ilhali anajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi Wake, Na Hawo Wanayo Adhabu Adhimu; Wale wanao zuwia njia ilio nyoka, Na Wataenda kujua, Na hukumu ni ya Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu.



Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Mlinganizi Kwa Njia Ya Al3aziz Al'Hamid; Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
الداعي إلى صراط العزيز الحميد؛ خليفة الله وعبده الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
______________
اقتباس: اضغط للقراءة
Ilisasishwa mwisho: 30-08-2022 10:46 PM