الموضوع: {wanao mcha Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja wake ni wenye ilimu} Sadaqa Allah Al3adhim ..

1

{wanao mcha Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja wake ni wenye ilimu} Sadaqa Allah Al3adhim ..

((

..
{‏ إِنَّمَا يَخْشَى اللَّهَ مِنْ عِبَادِهِ الْعُلَمَاءُ‏ }
صدق الله العظيـــــم ..



Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
01 - 04 - 1431 هـ
17 - 03 - 2010 مـ
09:49 مســاءً
ـــــــــــــــــــــــــ



Bismillah Al'Rahaman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Muhammad Na Alihi Wanao Tubia Walio Twahirika Na Salam Ju Ya Mitume Na Wanao Wafwata Kwa Ihsani Mpaka Siku Ya Dini ..


Ndugu Yangu Unae Uliza: Ispokua ilimu ambao ina mwinua mumini ma daraja ni ilimu ya kujua uwadhimu na Sifa za Mola Mlezi wao Ambae Amewaumba Subhanahu Ametakasika, Na wala hamutopata wanao mcha Allah ispo kua wenye ilimu kwa kumjuwa Mola Mlezi wao iwe sawa ni mwenye ilimu ya dini ama sio msomi hajuwi kusoma wala kuandika, Basi hato mcha Allah katika waja wake ispokua wenye ilimu ya kujua uwadhimu wa Mola Mlezi wao Ametakasika. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
.
{‏إِنَّمَا يَخْشَى اللَّهَ مِنْ عِبَادِهِ الْعُلَمَاءُ‏}
‏صدق الله العظيم
[فاطر:28].



[COLOR=#0000cd][SIZE=5]Na Bayana ya hio: Hamchi Allah katika waja wake wote ispo kua wenye ilimu ya kumjua Mola Mlezi wao ndio Wamhishimu kama anavyo stahiki kadiri Yake ndio wamtukuze Kum'kabir Takbira Ametakasika Wa Ta3ala 3uluwan Kabira na wana fikia kujua uwadhimu wa Allah kwa kutafakari katika nafsi zao, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:

{وَفِي أَنفُسِكُمْ ۚ أَفَلَا تُبْصِرُونَ﴿٢١﴾}
صدق الله العظيم
[الذاريات].



Basi Atafakari katika nafsi yake, Na jee yeye ndio amejiumba Nafsi yake? Na jibu lajulikana: Hapana.. Kwahivo nani Amemuba? Basi hapana budi kua ako na Muumba kwajili akili na mantik inakata kua uwepo wake ni kutokamana bila kitu ime mfanya awepo, Na mantik na akili kwenye kitabu inasema hakika ya kila kitendo kuna Mtendaji. Kusadikisha Kauli ya Allah:

{أَمْ خُلِقُوا مِنْ غَيْرِ شَيْءٍ أَمْ هُمُ الْخَالِقُونَ ﴿٣٥﴾}
صدق الله العظيم [الطور].



Yani hapana budi kuwe kuna kitu ingine imewaumba ispokua katika hali moja iwe wao ndio walio jiumba nafsi zao! Lakini mtu anajua kua yeye sio alie jiumba nafsi yake, Basi nani ambae Amemumba? Basi hapana budi kua kuna kitu imemfanya Akafanya kumumba kwake ndio atapata kua anae Mola Mlezi Amemumba Nae ni Allah Ambae hakuna mfano Wake kitu na Yeye ndio Latif Khabir, Kisha anagalia yanao mzunguka katika ardhi basi atapata mengi katika ishara za Mola Mlezi wake Zinazo julisha kwa upweke Wake na Uwadhimu Wake Ametakasika mpaka ayakinishe kwa uwadhimu wa Mola Mlezi wake. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَفِي الْأَرْضِ آيَاتٌ لِّلْمُوقِنِينَ ﴿٢٠﴾ وَفِي أَنفُسِكُمْ ۚ أَفَلَا تُبْصِرُونَ ﴿٢١﴾} صدق الله العظيم
[الذاريات].



Na Aka tafakari kwa yale yanao mzunguka. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَفَلَا يَنظُرُونَ إِلَى الْإِبِلِ كَيْفَ خُلِقَتْ ﴿١٧﴾ وَإِلَى السَّمَاءِ كَيْفَ رُفِعَتْ ﴿١٨﴾ وَإِلَى الْجِبَالِ كَيْفَ نُصِبَتْ ﴿١٩﴾ وَإِلَى الْأَرْضِ كَيْفَ سُطِحَتْ ﴿٢٠﴾} صدق الله العظيم [الغاشية].


Baada ya kutafakari inaongezeka yakini kumjua Mola Mlezi wake na kukutana Nae kwajili yeye amefikia natija ya ilimu ya yakini yani kujua kwa yakini kwa akili na mantik kwamba haiwezekani Aumbe Allah viumbe vote hivi kwa batili na kucheza Ametakasika! Kisha Anafika kwa kumcha Allah basi akaogopa adhabu Yake ndio anajianda kukutana Nae.


Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَتَفَكَّرُونَ فِي خَلْقِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ رَبَّنَا مَا خَلَقْتَ هَـٰذَا بَاطِلًا سُبْحَانَكَ فَقِنَا عَذَابَ النَّارِ ﴿١٩١﴾} صدق الله العظيم [آل عمران].


Hawo ndio waja wa Allah wenye ilimu kwa uwadhimu wa Mola Mlezi wao kupitia kutafakari kwenye umbaji Wake ndio wanafika kwenye yakini. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
.
{وَفِي الْأَرْضِ آيَاتٌ لِّلْمُوقِنِينَ ﴿٢٠﴾ وَفِي أَنفُسِكُمْ ۚ أَفَلَا تُبْصِرُونَ ﴿٢١﴾} صدق الله العظيم [الذاريات].


Basi atakae mjua Allah basi yeye ni katika wenye ilimu wa kumjua Mola Mlezi wake, Na hato Mcha Yeye Ispo kua wao waja wake. Na ama wale hawatafakari katika uwadhimu wa Mola Mlezi wao basi wao wame ghafilika na haki na hata kama itakavo kua wanajua ilimu basi wao ni majahili, Basi ambae hatomjua Allah basi hakujua ilimu yote, Na alie mjua Allah basi amejua ilimu yote wala haipungui ispo kua kujua kutoka kwa Mola Mlezi wake ndio ajifundishe ama aiulizie kwa yule alie jifunza vipi atam abudu Mola Mlezi wake baada kufanya uwamuzi wake kua hato mwabudu ila Allah Pekeyake Hana mshirika Nae Mumba wa mbingu na ardhi.



Na hoja ya kwanza ju ya binadamu ambae hamini Mungu mulhid kumkinaisha ni Ku'umbwa kwake. Na Akasema Allah Ta3ala:

[Alisraa].

{وَقَالُوا أَإِذَا كُنَّا عِظَامًا وَرُفَاتًا أَإِنَّا لَمَبْعُوثُونَ خَلْقًا جَدِيدًا ﴿49﴾ ۞ قُلْ كُونُوا حِجَارَةً أَوْ حَدِيدًا ﴿50﴾ أَوْ خَلْقًا مِّمَّا يَكْبُرُ فِي صُدُورِكُمْ ۚ فَسَيَقُولُونَ مَن يُعِيدُنَا قُلِ الَّذِي فَطَرَكُمْ أَوَّلَ مَرَّةٍ ۚ فَسَيُنْغِضُونَ إِلَيْكَ رُءُوسَهُمْ وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هُوَ ۖ قُلْ عَسَىٰ أَن يَكُونَ قَرِيبًا ﴿51﴾ يَوْمَ يَدْعُوكُمْ فَتَسْتَجِيبُونَ بِحَمْدِهِ وَتَظُنُّونَ إِن لَّبِثْتُمْ إِلَّا قَلِيلًا ﴿52﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].


Basi hivo ndio mutawahoji waso amini Mungu mpaka muwajulishe na Mola Mlezi wao Ambae Hakuwaumba Mchezo Huwenda wakawa na hadhari wakatambua hikma ya kuumbwa kwao ndio wamwabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye Ambae Amewaumba ili wamwabudu Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye huwenda wakawa na akili , Na Salam Ju Ya Mitume na Alhamdulillah Rabilalamin..


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.


اقتباس: اضغط للقراءة
))
الرابط: https://mahdialumma.xyz/showthread.php?p=333232
Ilisasishwa mwisho: 30-08-2022 01:25 AM