الموضوع: Itaenda Kuongezeka Ghamu Na Bala Enyi Ma3ashara Ya Ma Ajami Na Warabu Kwa Sababu Ya Ghadhabu Ya Mola Ml

1

Itaenda Kuongezeka Ghamu Na Bala Enyi Ma3ashara Ya Ma Ajami Na Warabu Kwa Sababu Ya Ghadhabu Ya Mola Ml

Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليمانيّ
26 - ذو القعدة - 1441 هـ
17 - 07 - 2020 مـ
9:40 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://mahdialumma.xyz/showthread.php?p=332964
_______

سوف يشتدّ الكَرب يا معشر العجم والعرب بسبب غضب الرّبِّ على المُعرضين عن الكتاب ..
Itaenda Kuongezeka Ghamu Na Bala Enyi Ma3ashara Ya Ma Ajami Na Warabu Kwa Sababu Ya Ghadhabu Ya Mola Mlezi Ju Ya Wanao Kanusha Kitabu..

Salam Ya Allah Ju Yenu Na Rahma Ya Allah Na Baraka Yake Na Neema Ya Radhi Yake Wapendwa Wangu Ma Ansar Walio Tangulia Walio Bora, Ilikua Yatakiwa iwe munao mzunguko kwa panda zote kwa sababu ya usiku wa nusu mwezi kua badri ya dhi alqaida ya mwaka wenu hu 1441 ni siku ya jumamosi usiku wa jumapili, Na sababu ni kua jua limefikilia mwezi ikiazaliwa mwandamo kabla ya kusuf ikakutana nae jua nae ni mwandamo, Na hi ndio ishara ya kiulimwengu, Na nawapa changa moto kua wapate sababu ya kisayansi ya kukamilika mwezi kua kamili badri mwezi wa dhi alqaida siku ya juma mosi usiku wa juma pili mbali na sababu moja haina ingine nayo ni hapana budi kua mwandamo wa dhi alqaida umezaliwa kabla ya kusuf ikakutana nae jua nae ni mwandamo tayari mchana wa juma pili; Na hi inamanisha imekua kusuf ya ki jua ju ya yemen na kisiwa cha warabu kwenye tarehe moja dhi alqaida, Basi vipi mumepoteza fursa baada kutokea tokeo la kusuf ya jua? Kwakua imebainika kwa wale hawajuwi kua jua limefikilia mwezi ikazaliwa mwamdamo kabla ya kusuf ikakutana nae jua nae ni mwandamo tayari, Na mutajua hayo kwa kusufu ambao inaonekana ju ya ma taifa ya kiarabu katika tarehe moja dhi alqaida, Na itabainika kwenu ukweli wa kufikilia kupitia usiku wa nusu katika mwezi kwa sababu kukamilika mwezi kua kamili badri ya mapema jioni ya siku ya jumamosi usiku wa jumapili, Na munge smamisha hoja ya kunyamazisha ju ya wana sayansi wa falaki, Lakini Ma ansar walikua wanataka Bayana baada ya tokeo!

Kwani sikuwaeleza waislamu na wote walimwengu kua jua litafikilia mwezi katika mwandamo wa dhi alqaida ndio izaliwe mwandamo kabla ya kusuf ya jua kisha litakutana nae jua nae ni mwandamo itafanyika katiaka tarehe moja dhi alqaida na kulingana kufikiliwa jioni ya siku ya jumamosi usiku wa jumapili? Yani kwamba tarehe ya usiku wa nusu ya mwezi ya dhi alqaida siku ya jumamosi usiku wa jumapili, Na ikabainika kwa wote ishara ya Allah ya kiulimwengu kwakua nayo mara hi imefanyika kusuf ya jua ju ya kisiwa cha kiarabu na ikafanyika kufikilia ishara ya kusadikisha, Lakini baadhi ya ma ansar anataka itimu kuthubutu kuonekana mwandamo wa dhi alqaida baada ya kuzama jua la jumamosi usiku wa jumapili! Na vipi itakua hivo na mwandamo wa dhi alqaida uko katika hali ya kufikiliwa? Bali tumesema kua jua litafikilia mwezi ndio ikutane nae jua nae ni mwandamo tayari katika mchana wa jumapili moja dhi alqaida kwakua nae imezaliwa mwandamo kabla ya kusuf ya jua ikakutana nae jua nae ni mwandamo tayari, Na sababu ya hivo kwakua jua limefikilia mwezi ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf ya kuonekana ambae imefanyika mchana wa siku ya jumapili mwisho wa shawal kulingana na tarehe zenu na nyinyi mwangalia enyi ma3ashara ya warabu katika mbingu ju ya kisiwa cha kiarabu ili Ajalie Allah ishara ya kufikilia inakariri kwa haki ju ya waki ya uhakika ishara ya kusadikisha khalifa wa Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na sababu ya kukamilika kua kamili mapema badri mwezi wa dhi alqaida siku ya jumamosi usiku wa jumapili basi hapana wala hawatopata ispo kua sababu ya kisayansi moja pekeyake kuhusu sababu ya kukamilika mwezi mapema ya mwezi ya dhi alqaida nayo ni hapana budi kua jua limefikilia mwezi ikazaliwa mwandamo siku ya jumamosi ikazama baada kuwa kwake mwandamo jioni ya jumamosi usiku wa jumapili
(Usikua Moja dhi alqaida) ikakutana nae jua nae ni mwandamo mchana wa juma pili, Na lau haikufanyika ishara ya kufikilia hainge fika mwezi wa dhi alqaida kuwa kamili badri usiku wa nusu mwezi jioni ya siku ya jumamosi usiku wa jumapili, Na wana sayansia wa falaki wote katika wanadamu wanajua kua mwanzo wa mwezi wa dhi alqaida ki falaki ni usiku wa jumatatu mwanzo wake wa kifaliki, Na wala sio na hapana na wala hamutopa


ta moja yoyote katika binadamu anasema kua mwanzo wa dhi alqaida ki falaki ni jioni ya siku y jumamosi usiku wa jumapili
( Kwakua haijafanyika bado kushikana kituoni; Nayo ni hio hio dhati yake kusuf ya jua) ispo kua Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwakua mimi najua kua jua limefikilia mwezi usiku wa jumapili ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf ikakutana nae ni mwandamo tayari, Kwajili ya hivo umekua kamili badri ya mwezi wa dhi alqaida ya mwaka wenu hu; Umekamilika badri kabla wakati wake mpaka kwa kulingana na mwanzo wake wa kifalaki na ikabainika kwa wote kua nayo ni kweli ni usiku wa nusu wa mwezi wa dhi alqaida imefanyika jioni ya jumamosi uaiku wa jumapili na haikufanyika kwa walimwengu kukumbuka ishara ya kufikiliwa ya ki ulimwengu! Na hukmu ni ya Allah na hakika Yeye ni Mbora wa kufafanua.

Na hakika itaenda kuongezeka ghamu na bala ju ya ma ajami na warabu wanao kanusha kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Basi nani atawakinga kutokana na adhabu iko milangoni? Na imekurubia kudhihirika kwa shari ilio andikwa basi hapana na wala hawatopata kwao pasi na Allah rafiki wala mwenye kuwa nusuru ewe Donald Tramp na yule kama mfano wake katika watungaji uwamuzi wenye arshi za kiarabu na wanazuoni wa waislamu na watungaji uwamuzi wa kiarabu na wanazuoni wao wa kuu na hivo hivo katika mwenye shari katika viumbe wanao kataa kuhusu kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Basi nani atawa ondoshea ju yao adhabu ya rijzi inao umiza (Yakuendelea) Nayo wanao ita virusi ya corona? Basi hivo hivo Amerika inapata nasibu ya simba, Na hivo hivo kwa amerika nasibu ya simba kutokana na shari ya kiji sayari cha adhabu inao ngojewa na wanaiyona ni mbali na tunaiona ni karibu kwakua serikali ya Donald Tramp na ma wali wake katika wakristo wazayoni, Na wala hawakua ni katika wakristo ispo kua aamejifanya wakristo katika nyumba nyeupe kwa uwongozi wa donald tramp aduwi wa kwanza wa Allah na kitabu chake Al'Quran Al3adhim, Wala sio kwa kupotea kwao bali kwajili wao wajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao na wao kwa haki ni wenye kuchukia, Aleyisa Allah Bi Ahkama Alhakimin?

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفةُ الله وعبدُه الإمام المهديّ ناصرُ محمدٍ اليمانيّ.
__________

اقتباس: اضغط للقراءة