الموضوع: Al'Imam Al'Mahdi Amjibu Ali Alfarj Mgeni Wa Meza Ya Mazumgumzo Kabla Ya Kudhihiri..

1

Al'Imam Al'Mahdi Amjibu Ali Alfarj Mgeni Wa Meza Ya Mazumgumzo Kabla Ya Kudhihiri..

Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
20 - رمضان - 1435 هـ
17 - 07 - 2014 مـ
10:40 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://mahdialumma.xyz/showthread.php?18881
ــــــــــــــــــ


ردُّ الإمام المهديّ إلى علي الفرج ضيف طاولة الحوار من قبل الظهور..
Al'Imam Al'Mahdi Amjibu Ali Alfarj Mgeni Wa Meza Ya Mazumgumzo Kabla Ya Kudhihiri..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Manabi Wote Na Mitume Kutoka Wa Kwanza Wao Mpaka Wa Mwisho Wao Muhammad Mtume Wa Allah Kwa Watu Wote Na Ju Ya Watu Wake Walio Wazuri Walio Twahirika Na Ju Ya Waumini Wote Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..

Eee ewe Ali Faraj mgeni wa meza ya mazungumzo katika ma shia athnaasharia kutoka kuwet, Basi mutalipiza kwa nani ju ya ma imamu wa al baiti? Na je mumejua kwamba walio wauwa ma imamu wa kitabu walio teuliwa bado wako hai katika maisha ya dunia miongoni mwa watu wanaruzukiwa? Kwahivo nilekezeni pahala pao hata kama nitatamba kwao kutamba ju ya kaa la moto ikiwa nitaweza ili nilipize kisasi cha ma baba zangu Ali na Alhusein na Alhasan na ma shuhada wa al beiti, Na ikiwa jibu lako ni kua utasema: "Ewe Nasser Muhammad hakika wamekufa walio wauwa ma imamu katika ma umma ishapita zaidi ya miyaka alfu". Kisha tunawacha jibu kwako kutoka kwa Allah moja kwa moja na Anasema:
{Hao ni watu walio kwisha pita. Watapata waliyo yachuma, nanyi mtapata mtakayo yachuma; wala hamtaulizwa nyinyi waliyo kuwa wakiyafanya wao} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:135].
{تِلْكَ أُمَّةٌ قَدْ خَلَتْ لَهَا مَا كَسَبَتْ وَلَكُمْ مَا كَسَبْتُمْ وَلَا تُسْأَلُونَ عَمَّا كَانُوا يَعْمَلُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:134].

Yani kwa maana hakika Allah Hato muliza yoyote katika umma wa leo kwa dhambi ya ma umma wale wa kwanza katika mwanzo wa uwislamu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na mbebaji habebi mzigo wa mwingine} Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir:18].
{وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَى} صدق الله العظيم [فاطر:18].

Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na Mola wako Mlezi hamdhulumu yeyote(49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf].
{وَلَا يَظْلِمُ رَبُّكَ أَحَدًا ﴿٤٩﴾} صدق الله العظيم [الكهف].

Basi je nyinyi muna huzuni kwajili Allah Ameandika ju ya baadhi ya ma imamu wa kitabu Shahada na Akawainua Kwake wako hai kwa Mola Mlezi wao wanaruzukiwa Akawafanya malakia katika watu wanaruka kwenye mabustani za Neema Ya Pepo? Basi yanini huzuni ju yao na tayari wako kwenye neema kuu na walio wauwa na walio tekelza mauwaji yao wako katika ja7him na adhabu chungu? Kwahivo yanini huzuni ewe mpendwa wangu kwa Allah ju ya ma imamu wa al beit walio kirimiwa? Bali huzuni ni ju ya umma wa leo walio potea kwa njia ilio nyoka; Bali huzuni ni ju ya wale wanao waomba ma imamu wa al beit pasi na Allah na wanaona kua wao wameongoka; Bali huzuni ju ya waumini wa leo wale ambao walio tenga dini yao kua ma jama na ma 7hizbu na kila 7hizbu kwa walio nayo wanafurahia; Bali huzuni ni ju ya waumini wa leo ambao walio tengana ma7hizbu na ma kundi na waka 7halalisha damu zao ju ya baadhi yao kwa wao; Bali 7huzuni ju ya umma wa kislamu wa leo; Waislamu kwa jina wla haikubaki katika uwislamu ila jina na katika Al'Qurani ispo kua mandishi yake ila kidogo; Bali huzuni ni ju ya umma wa kislamu wa leo wale ambao waliweka Al'Quran Al3adhim nyuma ya mingongo yao na wanajiona wako kwa kitu ilhali wao hawako kwa kitu.

Na ewe mpendwa wangu kwa Allah njo nikupe fatwa khusu ma shia na ma sunni, Basi ma shia wanasema kwamba ma sunni hawako kwa kitu, Na ma sunni wasema kwamba ma shia hawako kwa kitu, Lakini wao kwa hakika hawako kwa kitu wote kwakua wame fanya kitabu cha Allah ilio hifadhiwa kutokana na kubadilishwa nyuma ya mingongo yao na waka fungamana kwa yale yanao khalifu muhkam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim katika bi7har alanwar ama katika kitabu cha bukhari na muslim, Pamoja ya kwamba mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad si kadhibishi yalio ya ukweli katika bi7har alanwar ama katika kitabu cha bukhari na muslim lakini mimi nakadhibisha kwa yale yalio kuja ndani yake ambazo inakhalifu muhkam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim kama mfano ya akida yenu

katika maombezi ya waja mbele ya Mola Mlezi Anae Abudiwa pamoja ya kwamba sisi twa amini kusongea kwenda mbele ya Allah ili itimu kupatikane maombezi kwenye Nafsi Ya Allah wala sio kombeleza kwa Allah kwa waja wake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Nao, badala ya Mwenyezi Mungu, wanaabudu wasio wadhuru wala kuwanufaisha, na wanasema: Hawa ndio waombezi wetu kwa Mwenyezi Mungu! Sema: Je! Mnamwambia Mwenyezi Mungu asiyo yajua ya katika mbingu wala katika ardhi? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye(18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].
{وَيَعْبُدُونَ مِنْ دُونِ اللَّهِ مَا لا يَضُرُّهُمْ وَلا يَنْفَعُهُمْ وَيَقُولُونَ هَؤُلاءِ شُفَعَاؤُنَا عِنْدَ اللَّهِ قُلْ أَتُنَبِّئُونَ اللَّهَ بِمَا لا يَعْلَمُ فِي السَّمَوَاتِ وَلا فِي الأَرْضِ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ} صدق الله العظيم [يونس:18].

Basi musitaraji maombezi ya waja kwa waja mbele ya Mola Mlezi Anae Abudiwa hakika mimi kwenu kutoka kwake ni monyajo baini kwa Al'Quran Al3adhim kama alivo waonya babu yangu Muhammad Mtume wa Allah kabla. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na waonye kwayo wanao ogopa kuwa watakusanywa kwa Mola wao Mlezi, hali kuwa hawana mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye, ili wapate kuchamngu(51)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].
{وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَىٰ رَبِّهِمْ ۙ لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ (51)} صدق الله العظيم [الأنعام].

Na ewe mpemdwa wangu kwa Allah, Hakika ya ma imamu wa kitabu hawasiki mwito wenu wakati munapo waita kwenye makaburi yao na lau wangesikia maombi yenu hawange wajibuni na siku ya kiyama watakufuru kwa ushirikina wenu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Mkiwaomba hawasikii maombi yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na Siku ya Kiyama watakataa ushirikina wenu. Na hapana atakaye kupa khabari vilivyo kama Yeye Mwenye khabari(14)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fater].
{إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ (14)} صدق الله العظيم [فاطر]

Na ewe mpendwa wangu kwa Allah Ali Al Faraj, Wallahi Ambae Hapana Mola Ispo Kua Yeye hakika ya wale wanaomba ma imamu wa al beit ili wawaombeze kuwashufaia wao kwa Mola Mlezi wao hakika wao wame Mshirikisha Allah Mola Mlezi wa Ulimwengu na vitendo vao vimeanguka ispo kua Atakae Rehemewa na Mola Mlezi wangu na akaja na moyo ulio salimika kutokana na shirki kwa Allah; Hakika Ya Shirki ni dhulma kuu, Basi kua katika wanao shukuru ewe burudisho la macho Fa Wallahi Ambae Hapana Mola Ispokua Yeye hakika ya ma Nabi wote na ma imamu wa kitabu watakanusha akida yenu batili mbele ya Allah na watajitoa kutokana na ushirikina wenu na watakanusha kwa tamko la ulimi moja kwamba wao hawa kuwapa fatwa kwa akida hi ya batili nayo kua muwaombe wao pasi na Allah, Na hakika Allah Atawauliza suali hilo kwa ma imamu wa kitabu ili musikie jibu kwenye ilimu ya ghaibu. Akasema Allah Ta3ala:
{Na siku atakapo wakusanya wao na hao wanao waabudu, na akasema: Je! Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu hawa, au wao wenyewe walipotea njia(17) Watasema: Subhanak, Umetakasika na upungufu! Haikutupasia sisi kuchukulia walinzi badala yako, lakini Wewe uliwastarehesha wao na baba zao hata wakasahau kukumbuka, na wakawa watu walio angamia (18) Basi walikukanusheni kwa mliyo yasema. Kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. Na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa (19)} Sadqa Alalh Al3adhim [Alfurqan].
{وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ وَمَا يَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَقُولُ أَأَنتُمْ أَضْلَلْتُمْ عِبَادِي هَٰؤُلَاءِ أَمْ هُمْ ضَلُّوا السَّبِيلَ (17) قَالُوا سُبْحَانَكَ مَا كَانَ يَنبَغِي لَنَا أَن نَّتَّخِذَ مِن دُونِكَ مِنْ أَوْلِيَاءَ وَلَٰكِن مَّتَّعْتَهُمْ وَآبَاءَهُمْ حَتَّىٰ نَسُوا الذِّكْرَ وَكَانُوا قَوْمًا بُورًا (18) فَقَدْ كَذَّبُوكُم بِمَا تَقُولُونَ فَمَا تَسْتَطِيعُونَ صَرْفًا وَلَا نَصْرًا ۚ وَمَن يَظْلِم مِّنكُمْ نُذِقْهُ عَذَابًا كَبِيرًا(19)} صدق الله العظيم [الفرقان].

Na ewe Ali Alfaraj, Hakika mimi kwako ni mwenye kunasihi mwaminifu basi kua ni kati
ka wanao shukuru pindi Amekadiria Allah kuweko kwako katika zama za kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad ili awatowe nyinyi katika kiza kwenda kwa mwangaza, Na kua katika wanao shukuru pindi ame kuhususisha Al'Iama Al'Mahdi kwa hi Bayana baini rahma kwako ama Anataka Allah kusmamisha hoja ju yako kwa haki basi Akuadhibu adhabu kuu, Basi mumbe msamaha Allah hakika ya Allah kwa waja Wake ni Mrahimu ispo kua anae kata tama kutokana na Rehema ya Mola Mlezi wake akaidhulumu nafsi yake dhulma kuu kwa kukata tama kutokana na Rahma ya Allah Mwenye Huruma Kuliko Wenye Hutuma Wote.

Na hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani aula kuliko wewe kwa ma baba zangu Al'Imam Alhusein na Ali basi hakika sitolipiza kisasi kwao kwa mtu yoyote katika dunia kwa dhulma, Na najilinda kwa Allah nisiwe katika ma dhalimu na wanao fanya israfu katika ku uwa, Basi njoni ili niwatoweni kutoka kwa ma kiza kwenda kwa mwangaza kwa Bayana ya haki ya Al'Quran Al'Majid ndio niwaongoze nayo kwa njia ya Al3aziz Al'Hamid.

Na Slama Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
___________
اقتباس: اضغط للقراءة