الموضوع: Sababu Ya Kweli Ya Kumshirikisha Allah Na Siri Ya Maombezi ..

1

Sababu Ya Kweli Ya Kumshirikisha Allah Na Siri Ya Maombezi ..

- 1 -
Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
16- 06 - 1430 هـ
09 - 06 - 2009 مـ
08:41 مساءً
https://mahdialumma.xyz/showthread.php?p=70559

ـــــــــــــــــــــ

السبب الحقيقي للإشراك بالله وسرّ الشفاعة ..
Sababu Ya Kweli Ya Kumshirikisha Allah Na Siri Ya Maombezi ..

Kurudisha jibu kwa mwanachama Mahmud Al'Masri: Ikiwa Wamwabudu Allah Pekeyake basi isikufitini kumpenda alio chini yake kwa kumpenda Yeye na kutaka ukuruba Wake ikiwa wewe ni katika wakweli..

Bismillah Arrahman Arrahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Alio Khatimu Wa Ma Nabi Na Mitume Na Watu Wao Walio Wazuri Na Walio Wafwata Kwa Haki Mpaka Siku Ya Duni. Amesema Allah Ta3ala:
{ Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira Mpole(101) Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa (102)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَسْأَلُوا عَنْ أَشْيَاءَ إِنْ تُبْدَ لَكُمْ تَسُؤْكُمْ وَإِنْ تَسْأَلُوا عَنْهَا حِينَ يُنَزَّلُ الْقُرْآنُ تُبْدَ لَكُمْ عَفَا اللَّهُ عَنْهَا وَاللَّهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ ﴿١٠١﴾ قَدْ سَأَلَهَا قَوْمٌ مِنْ قَبْلِكُمْ ثُمَّ أَصْبَحُوا بِهَا كَافِرِينَ ﴿١٠٢﴾} صدق الله العظيم [المائدة:١٠١].

Ndugu mkarimu Mahmud Almasri hakika tumekubali beya yako na akida yako kuhusu jambo la Al'Imam Al'Mahdi hata kama utafanya daraja yetu chini ya Nabi wa Allah Yunus basi haina umuhimu kwetu kwa kitu, Wala sikuja kwenu ili niwahoji ju ya nafsi yangu wala kuwalingania muniabudu mimi wala siwalingani kumwabudu Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Alyhi Wa Alihi Wa Salam; Bali kwa Kumwabudu Allah Pekeyake Hana Mshirik Nae.

Na kuhusu Ma Nabi basi hakika Allah Ame inua baadhi yao ju ya baadhi kwa daraja katika ilimu, Na ju ya kila mwenye ilimu mjuzi zaidi, Na alio daraja ya ju kabisa kwa ilimu kwa kiwango cha ma Nabi wote na Mitume ni babu yangu Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{MITUME hao tumewatukuza baadhi yao juu ya wengineo. Katika wao wapo ambao Mwenyezi Mungu alisema nao, na wengine akawapandisha vyeo. Na tukampa Isa mwana wa Mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu alipenda wasingeli pigana walio kuwa baada yao baada ya kuwajia hoja zilizo wazi. Lakini walikhitalifiana. Basi wapo kati yao walio amini, na wengine kati yao walio kufuru. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu alipenda wasingeli pigana. Lakini Mwenyezi Mungu hutenda atakavyo} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:253].
{تِلْكَ الرُّسُلُ فَضَّلْنَا بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ مِنْهُمْ مَنْ كَلَّمَ اللَّهُ وَرَفَعَ بَعْضَهُمْ دَرَجَاتٍ وَآتَيْنَا عِيسَى ابن مريم البيّنات وَأَيَّدْنَاهُ بِرُوحِ الْقُدُسِ وَلَوْ شَاءَ اللَّهُ مَا اقْتَتَلَ الَّذِينَ مِنْ بَعْدِهِمْ مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَتْهُمُ البيّنات وَلَٰكِنِ اخْتَلَفُوا فَمِنْهُمْ مَنْ آمَنَ وَمِنْهُمْ مَنْ كَفَرَ وَلَوْ شَاءَ اللَّهُ مَا اقْتَتَلُوا وَلَٰكِنَّ اللَّهَ يَفْعَلُ مَا يُرِيدُ} صدق الله العظيم [البقرة:٢٥٣].

Kwahivo kutukuzwa kwa daraja ya ilimu sio kwa kiwango cha waja wa Allah wote bali; {MITUME hao tumewatukuza baadhi yao juu ya wengineo}
{تِلْكَ الرُّسُلُ فَضَّلْنَا بَعْضَهُمْ عَلَى بَعْضٍ}
Yani baadhi yao ju ya baadhi, Basi wewe huwezi kusema kua Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam yeye ana ilimu zaidi ya Jibril ju yake Sala na Salam; Kwajili Jibril yeye ndio mwalimu wa Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na ile ambao anatoa ushuhuda Al'Mahdi Al'Muntadhar kwa babu yake Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam nayo ni kua yeye ndio mwenye daraja ya ju kabisa katika kitabu kwa kiwango cha ma Nabi wote na Mitume, Na hi ndio akida yangu upande wa babu yangu Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa salam, Na ile fatwa natoa kwa haki kwa ma ansar wote na waislamu wote kua hakika wale wanao Mfanya Allah ni Wa Ma Nabi na Mitume pekeyao na wanaona kua haitakiwi kwao kushindana na wao katika kumpenda Allah na kua karibu Nae hakika wame mshirikisha Allah wote.

Na enyi waislamu hakika mimi sikufanya ubora wangu baina ya ma Nabi basi mimi si Nabi wala si Mtume, Na wataenda kuwafahmisheni kwa hayo ma Nabi wanao kuja
"as'hab alkahf" "wa araqim" nambari ilio ongezwa, Lakini mimi nawambia ukweli na haki nasema: Hakika ya Al'Mahdi Al'Muntadhar ambae nyinyi munae mngoja hamuna ujuzi kuhusu jambo lake wala hamujuwi siri yake na wala hamuna ilimu ya kadara yake na amkabidhi Allah jambo lake, Na ana wahadharisha pindi hamukuitikia kwa ulinganizi wa kushindana kwa kumpenda Allah na kua karibu Nae basi mushindane na Al'Mahdi Al'Muntadhar yupi kati yenu anae pendwa zaidi na yuko karibu kuliko Al'Mahdi Al'Muntadhar kwa Allah na ikiwa hamukufanya mukasema: Na vipi tutashindana na Al'Mahdi Al'Muntadhar kwa Kumpenda Allah na kua karibu Nae? Kisha Muka Mfanye Allah ni wa Al'Mahdi Al'Muntadhar peke, Basi hakika nyinyi mume mshirikisha Allah na hapana wala hamutopata kwenu pasi na Allah Wali wala mnusura, Na hakika nimewapa fatwa kwa haki na nimejitoa dhima yangu kwa Allah.

Na je Al'Mahdi Al'Muntadhar na Ma Nabi Wote na Mitume ispokua kama nyinyi wanataka kwa Mola Mlezi wao Alwasila yupi kati yao ni mpendwa zaidi na alio karibu? Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Hao wanao waomba, wao wenyewe wanatafuta alwasila ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - yupi miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo} Sadaqa Allah Al3dhim [Alisraa:57].
{أُولَٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ ربّهم الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧].

Basi kwanini enyi watu munazidisha kwa ma Nabi wa Allah na Mitume wake basi mukafanya kushindana kwa kumpenda Allah na kutaka ukuruba Nae peke ni yao pamoja yakua Allah Ame wafahamisheni kua wao ni waja kama nyinyi na munayo kwa Mola Mlezi wenu Allah haki kama wao, Na Wala hawa kuwalinganieni ma Nabi wa Alla na Mitume Wake kwa kuwabudu wao pasi na Allah bali wanalingania watu kwa kumwabudu Allah pekeyake Hana Mshirika Nae na kua washindane kwa kumpenda Allah na kutaka ukuruba Wake mara nyinyi mume Mfanya Allah wao Peke pasi na watu wema basi munawaomba pasi na Allah, Mukamfanya Allah ni Wa Wao Peke kisha mukawafanya ni waombezi wenu kwa Allah basi mwangoja maombezi kwenu kutoka kwao mbele ya Mikono Ya Allah kisha wasiweze kuwasaidia kwenu kwa Allah kitu, Hivi hamuwi wacha Mungu? Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na waonye kwayo wanao ogopa kuwa watakusanywa kwa Mola wao Mlezi, hali kuwa hawana mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye, ili wapate kuchamngu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:51].
{وَأَنْذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَنْ يُحْشَرُوا إِلَىٰ ربّهم لَيْسَ لَهُمْ مِنْ دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ} صدق الله العظيم
[الأنعام:٥١].

Na ewe ndugu mkarimu, Hakika Al'Mahdi Al'Muntadhar yeye ni wakwanza zaidi kuliko wewe na waislamu wote kwa Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Na sikuwajieni ispokua kwajili ya kunusuru ulinganizi wake ju yake Sala na Salam, Na nawalinganie kufwata basi muabudu ile anao abudu Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam ikiwa nyinyi muna mpenda Allah basi mumabudu Allah pekeyake mushindane kwa kumpenda Allah na kua karibu nae, Na hivo hivo Al'Mahdi Al'Muntadhar hawalingani ispokua ile alio walingania nayo Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam kua mumabudu Allah Pekeyake Hana mshirika Nae basi muwe wachaMungu ndio mushindane ju ya kumpenda Allah na kutaka Ukuruba Wake Na uwadhimu wa Neema ya Radhi ya Nafsi Yake ikiwa nyinyi muna Mwabudu Yeye Subhanahu Ametakasika Wa Ta3ala 3uluwan Kabiran.

Na ewe ndugu mkarimu, Hivi waona lau aseme Al'Mahdi Al'Muntadhar kwa ma3ashara ya wa kristo: Enyi ma3ashara ya wa kristo hakika mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar na kulingana na daraja yangu ya ilimu katika kitabu Amenifanya Allah imamu wa Mtume wa Allah Masihi isa mwana wa Maryam ambae Ame Mfundisha Allah Kitabu na hikma na Taurati na injili ambae atazungumza na nyinyi akiwa mtu mzima na katika watu wema wanao mfwata Al'Imam Al'Mahdi, Basi hatimai wata ghadhibika kwango wakristo kama vile ulivo ghadhibika ewe ambae umetoa beyaa ewe mmisri ambae hajuwi kadara yangu wala hana ujuzi wa siri yangu, Lakini nakubashiria kua hilo hapana wala sio muhumu kwangu hilo jambo wala sikuwajieni ili niwahoji ju ya nafsi yangu na daraja yangu katika kitabu, Na vile sio muhimu kwangu utukufu huo hata kama utaitakidi kua mimi daraja yangu ni ya chini kabisa ki ilimu katika kitabu ni singe kuhoji ju ya nafsi yangu ama niwambie nyinyi asinifwate ispokua mwenye kuamini kua mimi ndio mwenye ilimu zaidi katika viumbe va Allah wote, Na najilinda kwa Allah nisiwe katika wajinga, Bali nimekubali beya yako kwa akida yako ya sasa kwa sharti kua ushindane na Al'Mahdi Al'Muntadhar katika kumpenda Allah na kutaka ukuruba wake basi umwabudu Allah Pekeyake Hana mshirika Nae basi usitakidi kua Allah ni wa Al'Mahdi Al'Muntadhar peke pasi na watu wema basi hivo ni shirki kwa Allah.

Na enye Umma wa kislamu itikieni mlinganizi wa kushindana ju ya kumpenda Allah na kua karibu Nae ikiwa nyinyi munampenda Allah basi mushindane ju ya Allah yupi miongoni mwenu ni mpendwa zaidi na ni karibu zaidi na wala musimfanye Allah ni Wa Malaika peke basi wao sio ila waja kama nyinyi, Na wala musifanye kushindana kumpenda Allah na kua karibu Nae kwa ma jini basi wao sio ila waja kama nyinyi, Na wala musifanye Allah ni Wa Ma Nabi peke na Mitume pasi na wanao wafwata basi wao sio ila waja kama nyinyi, Na wala musmfanye Allah wa Khalifa Wake Al'Mahdi Al'Muntadhar Peke basi yeye sio ila mja wa Allah kama mfano wa waja yoyote kama nyinyi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Hapana yeyote aliomo mbinguni na ardhini ila atafika kwa Arrahmani Mwingi wa Rehema kuwa ni mtumwa wake (93) Yeye hakika amewadhibiti na amewahisabu sawa sawa (94) . Na kila mmoja katika wao atamfikia Siku ya Kiyama peke yake (95) Hakika walio amini na wakatenda mema Arrahmani Mwingi wa Rehema atawajaalia mapenzi (96) Na hakika tumeifanya nyepesi (Qur'ani) kwa ulimi wako, ili uwabashirie kwayo wachamngu, na uwaonye kwayo watu wabishi (97)} Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam].
{إِنْ كلّ مَنْ فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ إِلَّا آتِي الرَّحْمَٰنِ عَبْدًا ﴿٩٣﴾ لَقَدْ أَحْصَاهُمْ وَعَدَّهُمْ عَدًّا ﴿٩٤﴾ وَكُلُّهُمْ آتِيهِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فَرْدًا ﴿٩٥﴾ إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ سَيَجْعَلُ لَهُمُ الرَّحْمَٰنُ وُدًّا ﴿٩٦﴾ فَإِنَّمَا يَسَّرْنَاهُ بِلِسَانِكَ لِتُبَشِّرَ بِهِ الْمُتَّقِينَ وَتُنْذِرَ بِهِ قَوْمًا لُدًّا(97)} صدق الله العظيم [مريم].

Na enye ma3ashara ya wa kristo na waislamu, Hakika kua hawamini wengi wenu kwa Allah ispokua wao kwa Mola Mlezi wao washirikina basi wanatukuza ma Nabi wa Allah na Mitume wake wakamfanya Allah ni wao peke na wanaitakidi kua haijuzu kwao kushindana na Mitume wa Mola Mlezi kwa Kumpenda Allah Na Kua Karibu Nae! Kwahivo mwam'abudu Nani ikiwa nyinyi ni wakweli! Basi nileteni kwa ushuhuda ulio wazi. Na Akasema Allah Ta3ala:
{Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana (116) Sikuwaambia lolote ila uliyo niamrisha, nayo ni: Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Na mimi nilikuwa shahidi juu yao nilipo kuwa nao. Na ulipo nifisha ukawa Wewe ndiye Muangalizi juu yao. Na Wewe ni shahidi juu ya kila kitu (117)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
{وَإِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَى ابن مريم أَأَنْتَ قُلْتَ لِلنَّاسِ اتَّخِذُونِي وَأُمِّيَ إِلَٰهَيْنِ مِنْ دُونِ اللَّهِ قَالَ سُبْحَانَكَ مَا يَكُونُ لِي أَنْ أَقُولَ مَا لَيْسَ لِي بحقّ إِنْ كنت قُلْتُهُ فَقَدْ عَلِمْتَهُ تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ ۚ إِنَّكَ أَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ ﴿١١٦﴾ مَا قُلْتُ لَهُمْ إِلَّا مَا أَمَرْتَنِي بِهِ أَنِ اعْبُدُوا اللَّهَ ربّي وَرَبكم وَكُنْتُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا مَا دُمْتُ فِيهِمْ فَلَمَّا تَوَفَّيْتَنِي كنت أَنْتَ الرَّقِيبَ عَلَيْهِمْ وَأَنْتَ عَلَىٰ كلّ شَيْءٍ شَهِيدٌ ﴿١١٧﴾} صدق الله العظيم [المائدة].

Basi angalia jibu la Masihi Isa mwana wa Maryam Sala Allahu Aleyhi Wa Ala Ummhi wa Salam:
{Sikuwaambia lolote ila uliyo niamrisha, nayo ni: Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi} Sadaqa Allah Al3adhim,
{مَا قُلْتُ لَهُمْ إِلا مَا أَمَرْتَنِي بِهِ أَنْ اعْبُدُوا اللَّهَ ربّي وَرَبَّكُمْ} صدق الله العظيم،
Na hivo hivo Amesema Allah kwa Nabi Wake Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
{Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutieni madhambi yenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kufuta madhambi na Mwenye kurehemu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:31].
{قُلْ إِنْ كُنْتُمْ تُحِبُّونَ اللَّهَ فَاتَّبِعُونِي يُحْبِبْكُمُ اللَّهُ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَحِيمٌ} صدق الله العظيم [آل‌ عمران:٣١].

Na nini Bayana ya haki ya hi aya ambao Amebainisha Allan ndani yake sharuti ya kumpenda Yeye ili kumwabudu? Ni kuitikia ulinganizi wa Nabi wake kwa kumwabudu Allah Pekeyake Hana mshirika Nae ndio washindane ju ya kumpenda Allah na kutaka ukuruba Nae basi Awapende Allah ndio Awafanye karibu Nae Awaongeze kuwanyoshea Neema ya Ridhwan Ya Nafsi Yake katika Nyoyo zao Awaongoe basi Hasamehe Allah kumshirikisha Nae, Hivi Haumumchi Mungu? Na hi ndio ulinganizi wa kweli kwa Ma Nabi wote na Mitume na ulinganizi wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa wa Allah ju ya ulimwengu, Ulinganizi moja kwa pamoja kwa nino la sawa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na alasbat, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi (163) Na Mitume tulio kwisha kukuhadithia kabla yake, na Mitume wengine hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu alinena na Musa kwa maneno (164) Mitume hao ni wabashiri na waonyaji, ili watu wasiwe na hoja juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kuletewa Mitume. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima (165) Lakini Mwenyezi Mungu anayashuhudia aliyo kuteremshia wewe. Ameyateremsha kwa kujua kwake - na Malaika pia wanashuhudia. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi (166) Hakika walio kufuru na wakazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, wamekwisha potelea mbali (167) Hakika wale walio kufuru na wakadhulumu hawi Mwenyezi Mungu kuwasamehe wala kuwaongoa njia (168) Isipo kuwa njia ya Jahannamu. Humo watadumu milele. Na hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi (169) Enyi Watu! Amekwisha kujieni Mtume huyu na haki itokayo kwa Mola wenu Mlezi. Basi aminini, ndiyo kheri yenu. Na mkikakanusha basi hakika viliomo mbinguni na duniani ni vya Mwenyezi Mungu tu. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima (170)} Sadaqa Allah Al3adhim [Anisaa].
{إِنَّا أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ كَمَا أَوْحَيْنَا إِلَى نُوحٍ وَالنَّبِيِّينَ مِن بَعْدِهِ وَأَوْحَيْنَا إِلَى إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالأَسْبَاطِ وَعِيسَى وَأَيُّوبَ وَيُونُسَ وَهَارُونَ وَسُلَيْمَانَ وَآتَيْنَا دَاوُودَ زَبُوراً (163) وَرُسُلاً قَدْ قَصَصْنَاهُمْ عَلَيْكَ مِن قَبْلُ وَرُسُلاً لَّمْ نَقْصُصْهُمْ عَلَيْكَ وَكَلَّمَ اللّهُ مُوسَى تَكْلِيماً (164) رُّسُلاً مُّبَشِّرِينَ وَمُنذِرِينَ لِئَلاَّ يَكُونَ لِلنَّاسِ عَلَى اللّهِ حُجّة بَعْدَ الرُّسُلِ وَكَانَ اللّهُ عَزِيزاً حَكِيماً (165) لَّـكِنِ اللّهُ يَشْهَدُ بِمَا أَنزَلَ إِلَيْكَ أَنزَلَهُ بِعِلْمِهِ وَالْمَلآئِكَةُ يَشْهَدُونَ وَكَفَى بِاللّهِ شَهِيداً (166) إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُواْ وَصَدُّواْ عَن سَبِيلِ اللّهِ قَدْ ضَلُّواْ ضَلاَلاً بَعِيداً (167) إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُواْ وَظَلَمُواْ لَمْ يَكُنِ اللّهُ لِيَغْفِرَ لَهُمْ وَلاَ لِيَهْدِيَهُمْ طَرِيقاً (168) إِلاَّ طَرِيقَ جهنّم خَالدّين فِيهَا أَبَداً وَكَانَ ذَلِكَ عَلَى اللّهِ يَسِيراً (169) يَا أَيُّهَا النّاس قَدْ جَاءكُمُ الرَّسُولُ بالحقّ مِن رَّبِّكُمْ فَآمِنُواْ خَيْراً لَّكُمْ وَإِن تَكْفُرُواْ فَإِنَّ لِلَّهِ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ وَكَانَ اللّهُ عَلِيماً حَكِيماً (170)} صدق الله العظيم [النساء].

Na lau ataniuliza moja katika watafiti wa haki Aseme: " Nini Anakusudia Allah Subhanahu Kwenye Kauli Yake:
{{ Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na alasbat, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi (163) Na Mitume tulio kwisha kukuhadithia kabla yake, na Mitume wengine hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu alinena na Musa kwa maneno (164) Mitume hao ni wabashiri na waonyaji, ili watu wasiwe na hoja juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kuletewa Mitume. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima (165)} Sadaqa Allah Al3adhim?",


{إِنَّا أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ كَمَا أَوْحَيْنَا إِلَى نُوحٍ وَالنَّبِيِّينَ مِن بَعْدِهِ وَأَوْحَيْنَا إِلَى إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالأَسْبَاطِ وَعِيسَى وَأَيُّوبَ وَيُونُسَ وَهَارُونَ وَسُلَيْمَانَ وَآتَيْنَا دَاوُودَ زَبُوراً (163) وَرُسُلاً قَدْ قَصَصْنَاهُمْ عَلَيْكَ مِن قَبْلُ وَرُسُلاً لَّمْ نَقْصُصْهُمْ عَلَيْكَ وَكَلَّمَ اللّهُ مُوسَى تَكْلِيماً (164) رُّسُلاً مُّبَشِّرِينَ وَمُنذِرِينَ لِئَلاَّ يَكُونَ لِلنَّاسِ عَلَى اللّهِ حُجّة بَعْدَ الرُّسُلِ وَكَانَ اللّهُ عَزِيزاً حَكِيماً (165)}صدق الله العظيم؟"
Kisha Asemse Al'Mahdi Al'Muntadhar Fafanua Suali Lako zaidi Ndugu Mkarimu ili nikupe jibu la haki, Kisha aseme mulizaji; "Yani nini hio ufunuo wa pamoja ambao ni moja inaokusudiwa ambao wamekuja nao Mitume ili wasiwe watu wana hoja ju ya Allah baada ya Mitume?". Kisha Anmjibu Al'Mahdi Al'Muntadhar Na Yuwasema: Chukua jibu kutoka nuhakam ilio wazi maana yake kuhusu ufunuo wa pamoja ambao ni moja ambao walikuja nao ma Nabi wote na Mitume kwa watu, Basi tunapata jibu la haki katika muhakam ilio wazi kitabu katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu isipo kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbiya:25].
{وَمَا أَرْسَلْنَا مِنْ قَبْلِكَ مِنْ رَسُولٍ إِلَّا نُوحِي إِلَيْهِ أَنَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدُونِ} صدق الله العظيم [الأنبياء:٢٥].

{Na waulize Mitume wetu tulio watuma kabla yako: Je! Tulifanya miungu mingine iabudiwe badala ya Rah'mani} Sadaqa Allah Al3adhim [Azukhruf:45].
{وَاسْأَلْ مَنْ أَرْسَلْنَا مِنْ قَبْلِكَ مِنْ رُسُلِنَا أَجَعَلْنَا مِنْ دُونِ الرَّحْمَٰنِ آلِهَةً يُعْبَدُونَ} صدق الله العظيم [الزخرف:٤٥].

Basi angalia kwa kutishia na wadi ambao umelekezwa kutoka kwa Arrahman kwa Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam na kwa ma Nabi wote Na Mitume Wake:
{Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri (65)} Sadaqa Allah Al3adhim [Azumur].
{وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِنْ قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ} صدق الله العظيم [الزمر:٦٥].

Akawamuru Allah Wamwabudu Yeye Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye Ndio washindane kwa kumpenda na kua karibu Nae Yupi miongoni mwao ni karibu zaidi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{wanatafuta alwasila ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - yupi miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo} Sadaqa Allah Al3dhim [Alisraa:57].
i
{يَبْتَغُونَ إِلَىٰ ربّهم الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧].


Na hivo hivo ulinganizi wa Al'Mahdi Al'Muntadhar kwa wanadamu wote kwa Bayana ya haki ya ukumbusho kua wamwabudu Allah Pekeyake Hana mshirika Nae ndio washindane ju ya kumpenda Allah na kua karibu Nae na kua wasifanye badhi yao ju ya badhi miungu pasi na Allah, Basi waki itikia hakika wameongoka.Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakig
euka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislamu} Sadaqa Allah Al3adhim [Imran:64].
{قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِنْ دُونِ اللَّهِ فَإِنْ تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مسلمون} صدق الله العظيم [آل‌ عمران:٦٤].

Na Akasema Allah Ta3ala:
{Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:133].
{أَمْ كُنْتُمْ شُهَدَاءَ إِذْ حَضَرَ يَعْقُوبَ الْمَوْتُ إِذْ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعْبُدُونَ مِنْ بَعْدِي قَالُوا نَعْبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ آبَائِكَ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ إِلَٰهًا وَاحِدًا وَنَحْنُ لَهُ مسلمون} صدق الله العظيم [البقرة:١٣٣].

Na hivo hivo Amemtumiliza Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar Kutimiza lengu la haki katika Nafsi Ya Allah katika ku'umba Majni na Watu awalinganie kumwabudu Allah Pekeyake basi wafwate njia ya Rahdhi Yake ndio washindane ju ya kumpenda na kua karibu Nae, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi (56) Na sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe (57) Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti (58)} Sadaqa Allah Al3adhim [Adhariyat].
{﴿٥٥﴾ وَمَا خَلَقْتُ الجنّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ﴿٥٦﴾ مَا أُرِيدُ مِنْهُمْ مِنْ رِزْقٍ وَمَا أُرِيدُ أَنْ يُطْعِمُونِ ﴿٥٧﴾ إِنَّ اللَّهَ هُوَ الرَّزَّاقُ ذُو الْقُوَّةِ الْمَتِينُ ﴿٥٨﴾} صدق الله العظيم [الذاريات].


Na ewe Mahmud almassri, Hakika ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Ywakwambia wewe kauli ilio fupishwa hitimisho ya hitimisho ya Bayana Ya haki ya Al'Quran:
Hakika ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani na Babu yake Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam na ma Nabi wote na Mitume sio ispokua waja kama nyinyi:
{ wanatafuta alwasila ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - yupi miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo} Sadaqa Allah Al3dhim [Alisraa:57].
i{يَبْتَغُونَ إِلَىٰ ربّهم الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧].

Basi ikiwa wampenda Allah tufwate na ushindane na sisi katika kumpenda Allah na kutaka ukuruba Wake na uwadhimu wa Neema Ya Radhi Ya Nafsi Yake ikiwa wewe ni miongoni wanao abudu Allah Pekeyake, Na utake kwa Mola Mlezi wako Alwasila ili ushindane na ma Nabi wote na Mitume katika Kumpenda Allah na Kua karibu Nae na ushindane na Al'Mahdi Al'Muntadhar na waja wema wa Allah wote kwa kumpenda Allah na kua karibu Nae basi ikiwa wamwabudu Allah Pekeyake basi isikufitini kupenda alioko chini Yake kutokana na Kumpenda Yeye na kua karibu Nae ikiwa wewe ni katika wakweli, Kisha Atakufanya Allah katika waja Wake walio kirimiwa wale wanao taka kwa Mola Mlezi wao Alwasila basi washindane ju ya Kumpenda Allah na kua Karibu Nae. Lakini kwa maskitiko hata kama Atakukirimu Allah na Akakupenda na Akakukurubisha Na Akakupa Mokono kwa ma aya za karama kisha wajuwe waislamu hizo karama basi wale ambao hawa mwamini Allah ispokua wao washirikina bila shaka watakuomba wewe pasi na Allah kama kwamba Allah ni wa Mahmud almasri peke! Basi nani huyo ambao ame waharamishia ju yao kua washindane kwa kumpenda Allah na kua karibu Nae mpaka Allah Awakirimu? Lakini kwa maskitiko hakika wengi wa watu hawa mwamini Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Na hivo hivo wale ambao wame amini kwa Allah hivo hivo kwa maskitiko hawa amini wengi wao kwa Allah ispo kua wao washirikina kwa waja Wake walio kirimiwa na kidogo katika waja wa Allah washukuru katika wale walio shindana katika kumpenda Allah na kua karibu Nae na Akawapenda Allah Aka wakurubisha Aka waKirimu, Basi badali wasilamu wafwate mwendo wao mara waislamu wa waomba wao pasi na Allah wala hawakufwata njia yao waka Mfanya Allah ni wao peke wakaz

idisha ju yao bila ya haki waka mshirikisha Allah na wao ilhali sio ila waja kama wao, Na hajawakataza Al'Mahdi Al'Muntadhar Akasema Kwenu kua haitakiwi kua iwe kuna mja anae pendwa na mja alio karibu zaidi kuliko mimi kwa Mola Mlezi wangu katika waja wake wote bali nawalingania kwa kushindana na Al'Mahdi Al'Muntadhar katika kumpenda Allah Na Kua Karibu Nae na kuweni inye ma3ashara ya ma ansar walio tangulia walio bora katika wale Alisema Allah Ju Yao:
{ wanatafuta alwasila ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - yupi miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo} Sadaqa Allah Al3dhim [Alisraa:57].
{يَبْتَغُونَ إِلَىٰ ربّهم الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧].

Basi mukijiharamisha nafsi zenu hayo muka Mfanya Allah ni wa Al'Mahdi Al'Muntadhar peke na ma Nabi wote na Mitume, Basi Hapana wala hatowasaidia kwenu Al'Mahdi Al'Muntadhar wala wote ma Nabi na Mitume kwa Allah kitu, Mukawa katika washirikina kisha Ataziangusha Allah amali yenu na Hatoikubi kaenu.

Allahuma Nimebalighisha, Allahuma Shuhudia, Na nimejitoa kujibarisha dhima yangu nikabainisha amana yangu kwa Bayana Ya Haki ya ukumbusho, Basi atakae Amini na atakae akufuru na hakuna ju yeti ila kufikisha kwa haki ili isiwe kwa watu hoja ju ya Allah baada ya Bayana ya haki, Na Haki Ni Haki Kuifwata.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdilillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______________

اقتباس: اضغط للقراءة
Ilisasishwa mwisho: 05-09-2020 02:24 PM