Admin
22-04-2018, 11:29 PM
Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
24 - 09 - 1435 هـ
21 - 07 - 2014 مـ
10:35 صباحاً
ــــــــــــــــــ
لم يجعل الله التوراة والإنجيل المحرّفة حجّةً على العرب
وعلم الله بما سوف يقول العرب، فمن ثمّ أقام الحجّة عليهم بتنزيل القرآن العربي المبين..
Hakufanya Allah Taurati na injili Ambazo Zimeherufiwa Ni Hoja Juu Ya Warabu Na Amejua Allah Kwa Yale Watako Yasema Warabu, Basi Alafu Aksmamisha Hoja juu Yao Kwa Kuteremsha Al’Quran Ya Kiarabu ilio Wazi..
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Mtume Wa Allah Kwa Watu Wote Alio hitimisha Unabi Muhammad Mtume Wa Allah Kwa Al’Quran Al3adhim Hoja Ya Allah Juu Ya Wote Watu Na Majini Na Rahma Kwa Ulimwengu, Ama Baada Ya Hapo..
Na Amejua Allah kwamba warabu wataenda kusema hayo, Na Ameona Allah Kwamba Kauli Yao
{ إِنَّمَا أُنزِلَ الْكِتَابُ عَلَى طَآئِفَتَيْنِ مِن قَبْلِنَا وَإِن كُنَّا عَن دِرَاسَتِهِمْ لَغَافِلِينَ },
{ Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma },
Na Vile Allah Ameuna hayo ni hoja kwao kwajili ya hivo Akasmamisha Hoja Juu yao kwa haki kwa Al’Quran Ambao ni kiarabu ilio wazi ili wasiwe Wana hoja juu ya Mola Mlezi wao. Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَن تَقُولُواْ إِنَّمَا أُنزِلَ الْكِتَابُ عَلَى طَآئِفَتَيْنِ مِن قَبْلِنَا وَإِن كُنَّا عَن دِرَاسَتِهِمْ لَغَافِلِينَ (156) أَوْ تَقُولُواْ لَوْ أَنَّا أُنزِلَ عَلَيْنَا الْكِتَابُ لَكُنَّا أَهْدَى مِنْهُمْ فَقَدْ جَاءكُم بَيِّنَةٌ مِّن رَّبِّكُمْ وَهُدًى وَرَحْمَةٌ فَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّن كَذَّبَ بِآيَاتِ اللّهِ وَصَدَفَ عَنْهَا سَنَجْزِي الَّذِينَ يَصْدِفُونَ عَنْ آيَاتِنَا سُوءَ الْعَذَابِ بِمَا كَانُواْ يَصْدِفُونَ (157)}
صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema: { Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma (156) Au mkasema: Lau kuwa tumeteremshiwa sisi Kitabu tungeli kuwa waongofu zaidi kuliko wao. Basi imekufikieni bayana kutoka kwa Mola wenu Mlezi, na uwongofu, na rehema. Basi nani aliye dhaalimu mkubwa zaidi kuliko yule anaye kanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, na akajitenga nazo? Tutawalipa wanao jitenga na Ishara zetu adhabu kali kabisa kwa sababu ya kujitenga kwao (157)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ
اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.xyz/showthread.php?p=151705