المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Nini Maana Ya Jina La Allah Al'Swamad ?



Admin
06-03-2019, 12:45 AM
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
24 - صفر - 1437 هـ
06 - 12 - 2015 مـ
03:48 صباحاً
https://mahdialumma.xyz/showthread.php?t=36945
ــــــــــــــــــــ


ما معنى اسم الله الصمد ؟
Nini Maana Ya Jina La Allah Al'Swamad ?




Suali kutoka kwa Alanssari Al'Mukaram
( Ayub Ata'ib Lillah ): Nini Maana Ya Jina La Allah Al'Swamad Pamoja Na wingi Wa Kufupisha ikiwa Unaruhusu?



Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Na Mitume Kutoka wakwanaza Wao Mpaka Alio Khitimisha Muhammad Mtume Wa Allah Na Wote Waumini Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Hisabu, Ama Baada Ya Hapo..


Basi hakika ya maana ya jina La Allah Al'Swamad yani mwenye nguvu pana Nae Mwenye Adhabu kali, Na kwa ufupi maana ya Al'Swamad yani Mwenye Nguvu; Mwenye nguvu mpaka haina mwisho, Ambae Haidhufiki Nguvu Zake Subhanahu Ametukuka, Kwakua Yeye Amejitosheleza Kwa Nguvu Zake zako Dhati Kutokana na Majeshi Yake Wote Katika Mbingu Na Ardhi.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillh Rabil'3alamin..
Ndugu Yrnu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين ..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
________

اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.xyz/showthread.php?p=304633