المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Nini Kauli Yako Ewe Imamu Wa Uongofu, Je Katika Mali Ya Deni Ina Zaka?



Admin
14-05-2020, 02:18 AM
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
12 - 10 - 1432 هـ
11 - 09 - 2011 مـ
04:26 صباحاً
https://mahdialumma.xyz/showthread.php?p=21610

ـــــــــــــــــــــ


ما قولك يا إمام الهدى، هل على مال الدَّيْنِ زكاة ؟
Nini Kauli Yako Ewe Imamu Wa Uongofu, Je Katika Mali Ya Deni Ina Zaka?


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Na Familia Yake Walio Twahirika Na Wote Waislamu Mpaka Siku Ya Dini..
Na Haki Nasema:
Hakika mali ambao inakusanywa ili kulipa deni basi haina zaka ndani yake kitu, Kwakua nayo sio ya mwenyewe ispokua ni haki ya watu wengine, Ni haki yao ju yake katika dhima yake lazima yatakiwa alipe.


Na Salam Ju Ya Mitume, Wa Alhamdulillah Rabilalamin..


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
_________________

اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.xyz/showthread.php?p=21610