المساعد الشخصي الرقمي

مشاهدة النسخة كاملة : Hii ni hukumu ya Mwenyezi Mungu kuhusu yule anayemuua mtu bila sababu ya kulipiza uhai au bila kwa ajili ya kuzuia uharibifu katika ardhi basi ni kana kwamba amewaua watu wote Dhambi ya kitendo hicho imeandikwa katika Kitabu tangu mtoto wa kwanza ali



Admin
28-01-2026, 04:43 PM
Al’Imam Al’Mahdi. Nasser Muhmmad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصِر مُحَمَّد اليماني
23 - رجب - 1447 هـ
12 - 01 - 2026 مـ
08:27 مساءً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بِحسَب التَّقويم الرّسميّ لأمّ القُرَى)
______


Hii ni hukumu ya Mwenyezi Mungu kuhusu yule anayemuua mtu bila sababu ya kulipiza uhai au bila kwa ajili ya kuzuia uharibifu katika ardhi; basi ni kana kwamba amewaua watu wote. Dhambi ya kitendo hicho imeandikwa katika Kitabu tangu mtoto wa kwanza aliyezaliwa miongoni mwa wana wa Adamu hadi mtoto wa mwisho atakayezaliwa. Na anayesamehe na kufanya suluhu, basi ni kana kwamba amewaokoa watu wote—na hukumu hii haikuhusishwa tu na Wana wa Israili pekee.
Ama wanawake, wao ni kizazi cha baba yao, na wao pia wana kizazi—ambacho ni kizazi cha waume zao. Basi kwa nini mnayapotosha maneno kutoka mahali pake? Kwa kuwa wana wao wa kiume na wa kike wanaitwa kwa baba yao kwa sababu wao ni kizazi chake (“mazao ya kilimo chenu”), na wake zenu ni mashamba ya kukuoteshea kizazi chenu; Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{نِسَاؤُكُمْ حَرْثٌ لَّكُمْ فَأْتُوا حَرْثَكُمْ أَنَّىٰ شِئْتُمْ ۖ وَقَدِّمُوا لِأَنفُسِكُمْ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ وَاعْلَمُوا أَنَّكُم مُّلَاقُوهُ ۗ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٢٢٣﴾}
[Sura:Al’Baqara]..


Na Akasema Allah Ta3ala:
{مِنْ أَجْلِ ذَٰلِكَ كَتَبْنَا عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ أَنَّهُ مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا ۚ وَلَقَدْ جَاءَتْهُمْ رُسُلُنَا بِالْبَيِّنَاتِ ثُمَّ إِنَّ كَثِيرًا مِّنْهُم بَعْدَ ذَٰلِكَ فِي الْأَرْضِ لَمُسْرِفُونَ ‎﴿٣٢﴾‏ إِنَّمَا جَزَاءُ الَّذِينَ يُحَارِبُونَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا أَن يُقَتَّلُوا أَوْ يُصَلَّبُوا أَوْ تُقَطَّعَ أَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُم مِّنْ خِلَافٍ أَوْ يُنفَوْا مِنَ الْأَرْضِ ۚ ذَٰلِكَ لَهُمْ خِزْيٌ فِي الدُّنْيَا ۖ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ ‎﴿٣٣﴾‏ إِلَّا الَّذِينَ تَابُوا مِن قَبْلِ أَن تَقْدِرُوا عَلَيْهِمْ ۖ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ ‎﴿٣٤﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Maida].


Ama nasaba (koo na ukoo), basi huhusishwa na baba katika kila zama na kila mahali, na katika kila dini na itikadi; hapana tofauti baina ya wanadamu. Dini pia inakubaliana na hilo na inawakataza watu kuwanasibisha baadhi yao kwa watu wasiokuwa baba zao wa kuzaa, ili kulinda kutokuchanganyika kwa nasaba Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ادْعُوهُمْ لِآبَائِهِمْ هُوَ أَقْسَطُ عِندَ اللَّهِ ۚ فَإِن لَّمْ تَعْلَمُوا آبَاءَهُمْ فَإِخْوَانُكُمْ فِي الدِّينِ وَمَوَالِيكُمْ ۚ وَلَيْسَ عَلَيْكُمْ جُنَاحٌ فِيمَا أَخْطَأْتُم بِهِ وَلَٰكِن مَّا تَعَمَّدَتْ قُلُوبُكُمْ ۚ وَكَانَ اللَّهُ غَفُورًا رَّحِيمًا ‎﴿٥﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Ahzab].


{ادْعُوهُمْ لِآبَائِهِمْ هُوَ أَقْسَطُ عِندَ اللَّهِ}
Sadaqa Allah Al3adhim.
Na unawezaje kupima nasaba kwa kulinganisha na nasaba ya Maryam binti Imran, ilhali unajua kuwa hakuna mwanadamu aliyemgusa, na kwamba Isa ni kizazi chake kwa uwezo wa kimiujiza?! Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3al:
{فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا ‎﴿٢٧﴾‏ يَا أُخْتَ هَارُونَ مَا كَانَ أَبُوكِ امْرَأَ سَوْءٍ وَمَا كَانَتْ أُمُّكِ بَغِيًّا ‎﴿٢٨﴾‏ فَأَشَارَتْ إِلَيْهِ ۖ قَالُوا كَيْفَ نُكَلِّمُ مَن كَانَ فِي الْمَهْدِ صَبِيًّا ‎﴿٢٩﴾‏ قَالَ إِنِّي عَبْدُ اللَّهِ آتَانِيَ الْكِتَابَ وَجَعَلَنِي نَبِيًّا ‎﴿٣٠﴾‏ وَجَعَلَنِي مُبَارَكًا أَيْنَ مَا كُنتُ وَأَوْصَانِي بِالصَّلَاةِ وَالزَّكَاةِ مَا دُمْتُ حَيًّا ‎﴿٣١﴾‏ وَبَرًّا بِوَالِدَتِي وَلَمْ يَجْعَلْنِي جَبَّارًا شَقِيًّا ‎﴿٣٢﴾‏ وَالسَّلَامُ عَلَيَّ يَوْمَ وُلِدتُّ وَيَوْمَ أَمُوتُ وَيَوْمَ أُبْعَثُ حَيًّا ‎﴿٣٣﴾‏ ذَٰلِكَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ ۚ قَوْلَ الْحَقِّ الَّذِي فِيهِ يَمْتَرُونَ ‎﴿٣٤﴾‏ مَا كَانَ لِلَّهِ أَن يَتَّخِذَ مِن وَلَدٍ ۖ سُبْحَانَهُ ۚ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُن فَيَكُونُ ‎﴿٣٥﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Maryam].


Na kwa sababu hiyo, (Imamu Husayn bin Ali bin Abi Talib) ni mjukuu wa Muhammad Mtume wa Mwenyezi Mungu, lakini si miongoni mwa kizazi chake cha moja kwa moja Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَٰكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا ‎﴿٤٠﴾}
Sadaqa Allah Allah Ta3ala:[Sura:Al-Ahzab].

Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
{وَاللَّهُ جَعَلَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا وَجَعَلَ لَكُم مِّنْ أَزْوَاجِكُم بَنِينَ وَحَفَدَةً وَرَزَقَكُم مِّنَ الطَّيِّبَاتِ ۚ أَفَبِالْبَاطِلِ يُؤْمِنُونَ وَبِنِعْمَتِ اللَّهِ هُمْ يَكْفُرُونَ ‎﴿٧٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Nahl].

Basi ama wana wa kiume, wao ndio wanaobeba nasaba (اُدعُوهم لآبائهم) (waiteni kwa baba zao); na ama wajukuu, wao ni wana wa binti ambaye hubeba kizazi cha mkwe; Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَهُوَ الَّذِي خَلَقَ مِنَ الْمَاءِ بَشَرًا فَجَعَلَهُ نَسَبًا وَصِهْرًا ۗ وَكَانَ رَبُّكَ قَدِيرًا ‎﴿٥٤﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Furqan].


Hoja imesimama kwa vipimo vyote, na upotoshaji wa maneno ya Mwenyezi Mungu kutoka katika mahali pake yaliyokusudiwa umeondolewa kabisa, na kuchanganya haki na batili kumeangamizwa kikamilifu.
Na mada hii inafungwa.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin.
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
خليفةُ الله على العالَمين
الإمام المهديّ ناصِر محمد اليمانيّ.
_____


======== اقتباس =========
اقتباس المشاركة: : https://mahdialumma.xyz/showthread.php?p=492751