Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ
04 - رجب - 1447 هـ
24 - 12 - 2025 مـ
12:08 مساءً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التَّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
___
Bayana Ya Neno (أنفُسكُم) (Nafsi zenu) Katika Al’Quran Tukufu ..
بَيَانُ كَلِمةِ: (أنفُسكُم) في القُرآنِ العَظِيم ..
Bismillah Arahman Arahim, Na swala Na Salam ju ya khatimu wa ma Nabi na Mitumi Mummad Mtumi Wa Allah kwa Qurani Tukufu, Ujumbe wa Mwenyezi Mungu Kwa watu wote, Ensiklopidia ya vitabu vya waliotangulia na wa baadaye, iliyo teremshwa kwa Nabii asiyejua kusoma wala kuandika, khatamu wa manabii na waliotumwa. Enyi mlioamini, msalieni na msalimieni kwa salamu za amani. Nasi hatufanyi tofauti yoyote kati ya yeyote katika Mitume wa Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa Kitabu, na sisi kwake tumenyenyekea.
Basi, baada ya hayo
Amesema Allah Ta3ala:
{وَلَوْ أَنَّا كَتَبْنَا عَلَيْهِمْ أَنِ ٱقْتُلُوٓا۟ أَنفُسَكُمْ أَوِ ٱخْرُجُوا۟ مِن دِيَٰرِكُم مَّا فَعَلُوهُ إِلَّا قَلِيلٌ مِّنْهُمْ ۖ وَلَوْ أَنَّهُمْ فَعَلُوا۟ مَا يُوعَظُونَ بِهِۦ لَكَانَ خَيْرًا لَّهُمْ وَأَشَدَّ تَثْبِيتًا ﴿٦٦﴾ وَإِذًا لَّـَٔاتَيْنَٰهُم مِّن لَّدُنَّآ أَجْرًا عَظِيمًا ﴿٦٧﴾ وَلَهَدَيْنَٰهُمْ صِرَٰطًا مُّسْتَقِيمًا ﴿٦٨﴾ وَمَن يُطِعِ ٱللَّهَ وَٱلرَّسُولَ فَأُو۟لَٰٓئِكَ مَعَ ٱلَّذِينَ أَنْعَمَ ٱللَّهُ عَلَيْهِم مِّنَ ٱلنَّبِيِّـۧنَ وَٱلصِّدِّيقِينَ وَٱلشُّهَدَآءِ وَٱلصَّٰلِحِينَ ۚ وَحَسُنَ أُو۟لَٰٓئِكَ رَفِيقًا ﴿٦٩﴾ ذَٰلِكَ ٱلْفَضْلُ مِنَ ٱللَّهِ ۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ عَلِيمًا ﴿٧٠﴾} Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Nisaa].
Basi, hii ni aya iliyo muhkam (ya hukumu ya wazi) inayotoa fatwa ya kufanya jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu ili kupigana wao kwa wao kwa ajili ya kujilinda nafsi zao, ardhi yao na makazi yao; Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

Na vivyo hivyo katika sehemu nyingine (za Qur’ani) inakusudiwa kuharamisha uadui wao kwa wao, yaani: kuuwana bila haki yoyote, Amesema Allah Ta3ala:
{وَإِذْ أَخَذْنَا مِيثَٰقَكُمْ لَا تَسْفِكُونَ دِمَآءَكُمْ وَلَا تُخْرِجُونَ أَنفُسَكُم مِّن دِيَٰرِكُمْ ثُمَّ أَقْرَرْتُمْ وَأَنتُمْ تَشْهَدُونَ ﴿٨٤﴾ ثُمَّ أَنتُمْ هَٰٓؤُلَآءِ تَقْتُلُونَ أَنفُسَكُمْ وَتُخْرِجُونَ فَرِيقًا مِّنكُم مِّن دِيَٰرِهِمْ تَظَٰهَرُونَ عَلَيْهِم بِٱلْإِثْمِ وَٱلْعُدْوَٰنِ وَإِن يَأْتُوكُمْ أُسَٰرَىٰ تُفَٰدُوهُمْ وَهُوَ مُحَرَّمٌ عَلَيْكُمْ إِخْرَاجُهُمْ ۚ أَفَتُؤْمِنُونَ بِبَعْضِ ٱلْكِتَٰبِ وَتَكْفُرُونَ بِبَعْضٍ ۚ فَمَا جَزَآءُ مَن يَفْعَلُ ذَٰلِكَ مِنكُمْ إِلَّا خِزْىٌ فِى ٱلْحَيَوٰةِ ٱلدُّنْيَا ۖ وَيَوْمَ ٱلْقِيَٰمَةِ يُرَدُّونَ إِلَىٰٓ أَشَدِّ ٱلْعَذَابِ ۗ وَمَا ٱللَّهُ بِغَٰفِلٍ عَمَّا تَعْمَلُونَ ﴿٨٥﴾ أُو۟لَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ ٱشْتَرَوُا۟ ٱلْحَيَوٰةَ ٱلدُّنْيَا بِٱلْـَٔاخِرَةِ ۖ فَلَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ ٱلْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنصَرُونَ ﴿٨٦﴾} Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Baqara].
Na vivyo hivyo, msidhoofishane (msitiane kasoro) nyinyi kwa nyinyi Katika kauli ya Allah Ta3ala: {يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لَا يَسْخَرْ قَوْمٌ مِّن قَوْمٍ عَسَىٰٓ أَن يَكُونُوا۟ خَيْرًا مِّنْهُمْ وَلَا نِسَآءٌ مِّن نِّسَآءٍ عَسَىٰٓ أَن يَكُنَّ خَيْرًا مِّنْهُنَّ ۖ وَلَا تَلْمِزُوٓا۟ أَنفُسَكُمْ وَلَا تَنَابَزُوا۟ بِٱلْأَلْقَٰبِ ۖ بِئْسَ ٱلِٱسْمُ ٱلْفُسُوقُ بَعْدَ ٱلْإِيمَٰنِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ ﴿١١﴾} [Sura:Al-Hujurat].
Na vivyo hivyo, (neno) ‘anafusihim’ linakusudiwa watu wa nafsi zao, yaani: binadamu wa jinsi yao wenyewe, Akasema Allah Ta3ala:
{لَقَدْ جَآءَكُمْ رَسُولٌ مِّنْ أَنفُسِكُمْ عَزِيزٌ عَلَيْهِ مَا عَنِتُّمْ حَرِيصٌ عَلَيْكُم بِٱلْمُؤْمِنِينَ رَءُوفٌ رَّحِيمٌ ﴿١٢٨﴾}
[Sura:Al-Tuba].
Kwa hivyo, makusudio yanajitokeza wazi; kwani anachokusudia ni: (بعضهم بعضًا) (Wenyewe Kwa Wenyewe) Katika Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَٱللَّهُ جَعَلَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَٰجًا وَجَعَلَ لَكُم مِّنْ أَزْوَٰجِكُم بَنِينَ وَحَفَدَةً وَرَزَقَكُم مِّنَ ٱلطَّيِّبَٰتِ ۚ أَفَبِٱلْبَٰطِلِ يُؤْمِنُونَ وَبِنِعْمَتِ ٱللَّهِ هُمْ يَكْفُرُونَ ﴿٧٢﴾} [Sura:Al-Nahl].
Na kusadikisha kauli ya Allah Ta3allah:
{وَمِنْ ءَايَٰتِهِۦٓ أَنْ خَلَقَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَٰجًا لِّتَسْكُنُوٓا۟ إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُم مَّوَدَّةً وَرَحْمَةً ۚ إِنَّ فِى ذَٰلِكَ لَـَٔايَٰتٍ لِّقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ ﴿٢١﴾}[Sura:Al-Rum].
Na akasema Allah Ta3ala:
{فَاطِرُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ ۚ جَعَلَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَٰجًا وَمِنَ ٱلْأَنْعَٰمِ أَزْوَٰجًا ۖ يَذْرَؤُكُمْ فِيهِ ۚ لَيْسَ كَمِثْلِهِۦ شَىْءٌ ۖ وَهُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلْبَصِيرُ ﴿١١﴾} Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Shura].
Na ni lazima kufafanua kuhusu: (mjukuu) Katika Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَٱللَّهُ جَعَلَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَٰجًا وَجَعَلَ لَكُم مِّنْ أَزْوَٰجِكُم بَنِينَ وَحَفَدَةً وَرَزَقَكُم مِّنَ ٱلطَّيِّبَٰتِ ۚ أَفَبِٱلْبَٰطِلِ يُؤْمِنُونَ وَبِنِعْمَتِ ٱللَّهِ هُمْ يَكْفُرُونَ ﴿٧٢﴾} Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Nahl].
Basi kwa wanaume (wanaume/wavulana), Allah anamaanisha: waume wa kiume; kwa sababu wanabeba uzao wa baba zao na wanahesabiwa chini ya jina lake, yaani yeye ni: (baba wa watoto wake, watoto wa watoto wake, na watoto wa watoto wa watoto wake).
Na ajabu ilioje kwamba mtoto wa mtoto husema kwa baba wa babake; “Babu Fulani”
huku akimwita Adam: ‘Baba yetu Adam’! Je, ni vipi mtoto wa mtoto atasema kwa baba yake: ‘Babu fulani’? Ukweli ni kwamba, mtoto useme kwa baba yake wa moja kwa moja: ‘Baba yangu’, na kuhusu babu yake useme: ‘Baba fulani’; na hivi ndivyo hadi kufika kwenye baba yake Adam, atamwita: ‘Baba yetu Adam’, kwa sababu wote walio katika uzao wao ni mababa wake – wote pamoja – hadi kwa baba yake Adam. Siyo kwamba babu ndiye baba wa mtoto wa mtoto kama wanavyodai wengine, bali babu ni babu wa wajukuu, ambao ni watoto wa binti yake; hii inaashiria watoto wa kike kwa kuwa yeye atabeba uzao wa mwanaume mwingine.” Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَهُوَ ٱلَّذِى خَلَقَ مِنَ ٱلْمَآءِ بَشَرًا فَجَعَلَهُۥ نَسَبًا وَصِهْرًا ۗ وَكَانَ رَبُّكَ قَدِيرًا ﴿٥٤﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Furqan].
Yeye ndiye babu wa watoto wa binti yake. Kuhusu wanaume, wao wanabeba uzao wake na uzao wa uzao wake na wanahesabiwa kwake, kwa sababu kwa nasaba, wanaume wanaonekana kuwa wanaabeba uzao wake. Kuhusu binti, yeye hubeba wajukuu wake, ambao ni (uzao wa mwanaume wa binti yake) – watoto wa binti yake, na baba yao si yeye, bali babu yao; kwa sababu watoto wa binti yake si uzao wake, bali ni uzao wa mwanaume mwingine. Baba wa mama yao wanamwita: ‘babu yao’, kwa kuwa sio uzao wake bali ni (uzao wa mwanaume wa binti yake), watoto wa binti yake. Lakini wanaume, watoto wake wa kiume, wanabeba uzao wake (wa kiume na wa kike) wote katika mbegu ya mwanaume Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَأَنَّهُۥ خَلَقَ ٱلزَّوْجَيْنِ ٱلذَّكَرَ وَٱلْأُنثَىٰ ﴿٤٥﴾ مِن نُّطْفَةٍ إِذَا تُمْنَىٰ ﴿٤٦﴾} [Sura:Al-Najm].
Na Akasema Allah Ta3ala:
{أَيَحْسَبُ ٱلْإِنسَٰنُ أَن يُتْرَكَ سُدًى ﴿٣٦﴾ أَلَمْ يَكُ نُطْفَةً مِّن مَّنِىٍّ يُمْنَىٰ ﴿٣٧﴾ ثُمَّ كَانَ عَلَقَةً فَخَلَقَ فَسَوَّىٰ ﴿٣٨﴾ فَجَعَلَ مِنْهُ ٱلزَّوْجَيْنِ ٱلذَّكَرَ وَٱلْأُنثَىٰٓ ﴿٣٩﴾ أَلَيْسَ ذَٰلِكَ بِقَٰدِرٍ عَلَىٰٓ أَن يُحْـِۧىَ ٱلْمَوْتَىٰ ﴿٤٠﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Qiyama].
Na neno ‘binadamu’ katika aya hii halimaanishi Adam kwa yeye binafsi; bali linamaanisha binadamu kutoka uzao wa Adam, iwe wa kiume au wa kike, na hivyo imekuwa tangu mwanzo wa uzao wa baba yetu Adam Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

Baba na mama wetu wa asili ni wawili tu, ambao walitokea kutokana na amri za uwezo wa Allah (‘KUN’ – Kuwa), kutoka kwa ishara za miujiza isiyo ya kawaida. Sio kutoka ishara za kawaida. Ishara za kawaida ni uzao wa Adam. Kuhusu Adam na Hawaa, wao ni kutoka ishara za miujiza ya ajabu za Allah, si ishara za kawaida (Adam na Hawaa) Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ ٱتَّقُوا۟ رَبَّكُمُ ٱلَّذِى خَلَقَكُم مِّن نَّفْسٍ وَٰحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَآءً ۚ وَٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ ٱلَّذِى تَسَآءَلُونَ بِهِۦ وَٱلْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا ﴿١﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Nisaa].
Sikuona wajukuu au wajukuu wa kike wa baba yetu Adam na mama yetu Hawaa; bali wote ni wanaume na wanawake wa Adam, kwa sababu wote wanatoka kwenye uzao wake, isipokuwa Mtume isa, mwana wa Mariamu (ju yake salamu), ambaye si kutoka uzao wa Adam; bali ni mjukuu wa Adam, yaani Adam ndiye babu yake – baba wa mama yake Mariamu (ju yake salamu) Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ مَثَلَ عِيسَىٰ عِندَ ٱللَّهِ كَمَثَلِ ءَادَمَ ۖ خَلَقَهُۥ مِن تُرَابٍ ثُمَّ قَالَ لَهُۥ كُن فَيَكُونُ ﴿٥٩﴾ ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُن مِّنَ ٱلْمُمْتَرِينَ ﴿٦٠﴾ فَمَنْ حَآجَّكَ فِيهِ مِنۢ بَعْدِ مَا جَآءَكَ مِنَ ٱلْعِلْمِ فَقُلْ تَعَالَوْا۟ نَدْعُ أَبْنَآءَنَا وَأَبْنَآءَكُمْ وَنِسَآءَنَا وَنِسَآءَكُمْ وَأَنفُسَنَا وَأَنفُسَكُمْ ثُمَّ نَبْتَهِلْ فَنَجْعَل لَّعْنَتَ ٱللَّهِ عَلَى ٱلْكَٰذِبِينَ ﴿٦١﴾} Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Al-Imran].
Na wewe, Bwana Selim, si mtu mwenye hekima wala njiani mwafaka; na unasema kuhusu Allah mambo usiyo yajua, na unajivunia dhambi, ukivaa ukweli kama uwongo, na kubadilisha maneno ya Allah kutoka mahali pake yaliyokusudiwa. Na unamshtumu Khalifa wa Allah, Imam Al-Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani, kwa uongo, kana kwamba Imam Nasser Muhammad Al-Yamani anapingana na aya za Allah bila maarifa, mwongozo, au kitabu cha mwanga. Hali ni kinyume kabisa; bali Bwana Selim ndiye anaye pingana na aya za Allah bila maarifa, mwongozo, au kitabu cha wazi. Na mtu mwenye akili anayefuatilia mazungumzo yetu bila shaka atasema: ‘Bwana Selim ndiye anayepingana bila maarifa, mwongozo, au kitabu cha mwanga; bali hubadilisha maneno ya Allah kutoka mahali pake sahihi na kufasiri Qur’ani kwa dhana na tamaa zake binafsi Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ٱلَّذِينَ يُجَٰدِلُونَ فِىٓ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ بِغَيْرِ سُلْطَٰنٍ أَتَىٰهُمْ ۖ كَبُرَ مَقْتًا عِندَ ٱللَّهِ وَعِندَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ ۚ كَذَٰلِكَ يَطْبَعُ ٱللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ قَلْبِ مُتَكَبِّرٍ جَبَّارٍ ﴿٣٥﴾}Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Ghafir].
Kwa hakika, kwa Mola wangu, jambo hili limekuwa gumu mno kwa Allah na kwa wale wote waliomuamini kwa kweli kutoka kwa Mola wao
Hakuna faida yoyote kwa mabishano na watu kama wewe; kwa hivyo, rudi kwa Mola wako ili awe mwongozo wa moyo wako. Umelindwa kwa hoja kamili ya kweli, na wewe unajua kwa hakika ya usahihi kwamba ukweli uko pamoja na Khalifa wa Allah, Imam Al-Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani. Kwa hivyo, usiwe miongoni mwa wale wanaovaa ukweli kama uwongo; Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُلْنَا ٱهْبِطُوا۟ مِنْهَا جَمِيعًا ۖ فَإِمَّا يَأْتِيَنَّكُم مِّنِّى هُدًى فَمَن تَبِعَ هُدَاىَ فَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ ﴿٣٨﴾ وَٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَكَذَّبُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَآ أُو۟لَٰٓئِكَ أَصْحَٰبُ ٱلنَّارِ ۖ هُمْ فِيهَا خَٰلِدُونَ ﴿٣٩﴾ يَٰبَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ ٱذْكُرُوا۟ نِعْمَتِىَ ٱلَّتِىٓ أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَوْفُوا۟ بِعَهْدِىٓ أُوفِ بِعَهْدِكُمْ وَإِيَّٰىَ فَٱرْهَبُونِ ﴿٤٠﴾ وَءَامِنُوا۟ بِمَآ أَنزَلْتُ مُصَدِّقًا لِّمَا مَعَكُمْ وَلَا تَكُونُوٓا۟ أَوَّلَ كَافِرِۭ بِهِۦ ۖ وَلَا تَشْتَرُوا۟ بِـَٔايَٰتِى ثَمَنًا قَلِيلًا وَإِيَّٰىَ فَٱتَّقُونِ ﴿٤١﴾ وَلَا تَلْبِسُوا۟ ٱلْحَقَّ بِٱلْبَٰطِلِ وَتَكْتُمُوا۟ ٱلْحَقَّ وَأَنتُمْ تَعْلَمُونَ ﴿٤٢﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim:[Sura:Albaqara].
Na kalamau imeinuliwa na vitabu vimekauka, Na hukumu ni ya Allah mbora wa kuamua.
Na Salam Ju Ya Mitumi Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
خليفةُ الله على العالَمين
الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليَمانيّ.
__
======== اقتباس =========
اقتباس: اضغط للقراءة