الموضوع: Kimbieni kutokana Na Allah Muleke Kwake Ikiwa Nyinyi Mwa Amini Kua Allah Yeye Ni Arrhama Arrahimin..

1

Kimbieni kutokana Na Allah Muleke Kwake Ikiwa Nyinyi Mwa Amini Kua Allah Yeye Ni Arrhama Arrahimin..

Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليمانيّ
20 - ذو القعدة - 1441 هـ
11 - 07 - 2020 مـ
9:33 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
________

Kimbieni kutokana Na Allah Muleke Kwake Ikiwa Nyinyi Mwa Amini Kua Allah Yeye Ni Arrhama Arrahimin..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Waja Wake Wale Alio Wateuwa Na Walio Wafwata Kwa Ihsan Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..

Na wabashiri wale ambao wanazuwia kwa mlinganizi wa Rahma ya Allah basi ndio wazuwia kuzuwia ju yake kua Allah hakuna kwa Nafsi Yake Majuto ju yenu madamu munasisitiza ju ya ku kukufuru kwenu, Hakika Allah Ni Mwenye Huruma Zaidi kuliko wenye huruma wote Ametakasika Alie Ju Ambae Ni Adhimu Jabari Mwenye Kiburi, Basi Hana Katika Nafsi Yake Huruma ju ya wakanushaji kwa mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wenu, Basi je mwadhani Allah Anakubali istighfari ya waja wake kwa Mola Mlezi wake kua Amsamehe yeye na yeye ilhali anasisitiza kuendelea kufanya madhambi ma kubwa na machafu na uasharati ju ya watu bila ya haki? Hawo twambia wao: Hakika Allah Ana ghadhabu ju yao, Basi vipi Atakua na Majuto ju ya watu wanasisitiza ju ya ilhadi yao na shirki yao na kukufuru kwao; Wale ambao wamekata tamaa na Rahma ya Allah kama walivo kata tama makafiri kwa watu walio makaburini kua atawafufua Allah baada kufa kwao? Na nawa tahadharisha waislamu kua wasifwate mwendo wao ma mulhidina kwa Allah na wao wajua kua mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao, Wala haendi mbio Al'Imam Al'Mahdi ili awaongoe walio ghadhibiwa ju yao katika wale wakiona njia ya haki hawa ichukuwi ni njia na wao wajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao na wakiona njia mbaya na batili na kila kinacho mghadhibisha Allah wanaifanya ni njia kuchukia yale yanao Mridhisha Allah, Basi vipi Atajuta Allah ju yao na ju ya wanao fanya kiburi wanao sisitiza kwa sababu ya kukufuru kwao na ukaidi wao mpaka waonje uwovu wao.

Na enyi ma3ashara ya wakanushaji, Pindi Akiwasibu Allah na corona basi kimbieni kwenu kwa familia zenu walio kua ngumu nyoyo zao, Basi kwa nani munajikinga? Basi ikiwa mutasema tutajikinga kwa Allah ndio tumnyenyeke Allah Mola Mlezi wetu tu liie mbele Yake tawataraji Rahma Yake na kua na yakini kua Allah Arrhama Arrahimin, Basi mutapata kua Allah Anasamehe madhambi yenu yote na Anawatubia na Sababu ni Sifa Ya Rahma Katika Nafsi Yake Subhanahu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Zinakaribia mbingu kupasuka juu huko, na Malaika wakimtakasa Mola wao Mlezi na kumhimidi, na wakiwaombea maghfira waliomo kwenye ardhi. Ama hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu} Sadaqa Allah Al3adhim [Ashura:5].
{ تَكَادُ ٱلسَّمَـٰوَ ٰ⁠تُ یَتَفَطَّرۡنَ مِن فَوۡقِهِنَّ وَٱلۡمَلَـٰۤىِٕكَةُ یُسَبِّحُونَ بِحَمۡدِ رَبِّهِمۡ وَیَسۡتَغۡفِرُونَ لِمَن فِی ٱلۡأَرۡضِۗ أَلَاۤ إِنَّ ٱللَّهَ هُوَ ٱلۡغَفُورُ ٱلرَّحِیمُ } [الشورى: 5].

Na suali ambalo lajiweka lenyewe: Na je ile Huruma katika Nafsi Ya Allah iko sawa na kuhisi huruma katika nafsi ya wenye huruma katika waja wake? Na jibu katika ilio wazi maana yake kitabu; Kua Yeye ni zaidi Huruma Yake kuliko wenye huruma katika waja wake wote, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Akasema: Leo hapana lawama juu yenu. Mwenyezi Mungu atakusameheni, naye ni Mwingi wa kurehemu kuliko wote wanao rehemu} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf:92].
{ قَالَ لَا تَثۡرِیبَ عَلَیۡكُمُ ٱلۡیَوۡمَۖ یَغۡفِرُ ٱللَّهُ لَكُمۡۖ وَهُوَ أَرۡحَمُ ٱلرَّ ٰ⁠حِمِینَ } [ يوسف: 92].

{ akasema: Mola Mlezi wangu! Nisamehe mimi na ndugu yangu, na ututie katika rehema yako. Nawe ni Mwenye kurehemu kushinda wote wenye kurehemu} [Alaaraf:151].
{قَالَ رَبِّ ٱغۡفِرۡ لِی وَلِأَخِی وَأَدۡخِلۡنَا فِی رَحۡمَتِكَۖ وَأَنتَ أَرۡحَمُ ٱلرَّ ٰ⁠حِمِینَ } [ الأعراف: 151].

{Na Ayyubu, alipo mwita Mola wake Mlezi, akasema: Mimi yamenipata madhara. Na Wewe ndiye unaye rehemu kuliko wote wanao rehemu} [Alanbia:83].
{وَأَیُّوبَ إِذۡ نَادَىٰ رَبَّهُۥۤ أَنِّی مَسَّنِیَ ٱلضُّرُّ وَأَنتَ أَرۡحَمُ ٱلرَّ ٰ⁠حِمِینَ } [ الأنبياء: 83].


{Akasena Je, nikuaminini kwa huyu ila kama nilivyo kuaminini kwa nduguye zamani? Lakini Mwenyezi Mungu ndiye Mbora wa kulinda, naye ndiye Mbora wa kurehemu kuliko wenye kurehemu wote} [Yusuf:64].
{ قَالَ هَلۡ ءَامَنُكُمۡ عَلَیۡهِ إِلَّا كَمَاۤ أَمِنتُكُمۡ عَلَىٰۤ أَخِیهِ مِن قَبۡلُ فَٱللَّهُ خَیۡرٌ حَـٰفِظًاۖ وَهُوَ أَرۡحَمُ ٱلرَّ ٰ⁠حِمِینَ } [ يوسف: 64].

Na ewe mwanamume, Lau haikua Rahma Katika Nafsi ya Allah ni ile ile sifa ya Rahma ambao wanahisi nayo waja wake walio na Rahma; Na nakariri na nakumbusha na nasema: Lau haingekua ile ile sifa ya Rahma Katika Nafsi Ya Allah basi Hange wapatia Allah katika sifa ya Rahma kisha Akaisifu Nafsi Yake Kua Yeye Ndio Mbora Wa Kurehemu kuliko wenye kurehemu wote, Basi madamu Allah ndio Mbora wa Kurehemu kuliko wenye kurehemu wote basi hi inamanisha kua Yeye Ana Rehema Kuliko Mama kwa mtoto wake na Ana Rehema kuliko Baba Kwa Mtoto wake, Kisha ujaribu katika nafsi yako na uwaze kiyasi gani ukubwa wa majuto yako katika nafsi yako lau kua wewe una mtazama mtoto wako anaadhibika katika moto wa jahim anajuta ju ya kila wakati ameku assi mtoto wako ndani yake? Basi nini itakua hali yako ewe mja wa Allah kwakua mtoto wako hakua tena ku sisitiza kuku assi tena? Basi iko vipi hali yako ewe mwanamume na hali ya kila Mama na Baba wana wtazama watoto wao wanapiga kelele katika moto wa jahim? Basi hakika sasa hivi watahisi majuto makubwa kiasi gani ndani ya nafsi yao, Basi nini suluhisho enyi waja wa Allah? Na je mwadhani kua nyinyi muta wa ombeleza kuwashufaia wao kwa Mola Mlezi wao? Lakini hio ni kufru, Hakika Ya Allah Yeye Ndio Mbora wa kurehemu kuliko wenye kurehemu wote, Kwa hivo nini kauli ambao ni ya sawa mpaka Atoe idhini Allah kwenu kuzungumza? Na jibu: Ni kwa vile nyinyi mumejua kiwango ya ukubwa wa majuto yenu katika nafsi yenu basi kumbukeni, Basi kwahivo vipi kiwango ya Majuto Ya Allah katika Nafsi Yake kwakua Yeye ndio Mwenye Rehema kuliko wenye Rehema wote? Basi hapana budi kua Yeye Ana majuto na Ana Maskitiko ju ya wale Alio wangamiza katika ma umma wale walio wakufuru Mitume wa Allah kwa kupotea kwao kwa kua wao hawajuwi kua ni Mitume wa Allah wa kweli kutoka kwa Mola Mlezi wao waka wakadhibu Akawangamiza Allah Wakawa wana ugua na kujuta kwa yale walio poteza kwa upande wa Allah.


Basi mwanzo tutalipitisha hili jambo ju ya mantiki na akili, Basi kwa vile waja wake wale ambao Ame Wangamiza na wakawa makafiri hawa kua tena makafiri bali wa amini na wanajuta ju ya yale walio poteza upande wa Mola Mlezi wao, Na kwa vile Allah Yeye ndio Mwingi wa Kurehemu kuliko wenye Rehema wote basi hatimai inasema akili, madamu Allah Ameisifu Nafsi Yake kua Yeye Ndiuo Mwenye Huruma kuliko mwenye Rehema wote basi hatimai Ana Majuto na Huzuni ju ya waja wake wale walio juta ju ya yale walio poteza kwa upande wa Mola Mlezi wao, Fawallahi Hakika hi ndio jibu ya mantiki na akili kwa binadamu mwenye akili, Basi njoni tuangalie je Ameisadikisha Allah ile fatwa ilio tupa akili kuhusu Hali ya Allah Mwenye Huruma kuliko wenye huruma wote? Basi twasema kwa ulimi moja: Iko vipi Hali Yako Ewe Allah ju ya ma umma walio juta ju ya walio poteza upande wa Mola Mlezi wao waka kadhibu Mitume wao Akawangamiza Allah wakawa wamejuta? Ispo kua Hali Ya Allah katika Hali ambao jambo Amewa eleza nayo katika muhkam ilio wazi maana yake kitabu chake katika kauli yake Ta3ala:
{Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa (29) Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli (30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31) Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu (32)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
{ إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ ﴿٢٩﴾ يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ ۚ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٣٠﴾ أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ ﴿٣١﴾ وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُونَ ﴿٣٢﴾ } صدق الله العظيم [ يس ].

Lakini wao wame kata tama na Rahma Ya Allah Mwenye Huruma kuliko wenye huruma wote na wanataka ku hurumiwa kwa wale wao huruma yao ni duni kuliko Allah kwa waja wake walio karibu nae kua watake kushufaiwa kwao Kwa Mola Mlezi wao! Na hi ndio upotevu kwa kua wao wanataka kwa waja wake walio karibu kua wa waombeleze kuwashufaia wao kwa Allah wala hawa kumomba Allah Mbora wa Ku wahurumia kwao kuliko Malaika wake walio karibu! Na hi ndio maombi ya upotevu, Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na watapo hojiana huko Motoni, wanyonge watawaambia walio jitukuza: Hakika sisi tulikuwa wafuasi wenu, basi je, hamtuondolei sehemu ya huu Moto (47) Watasema walio jitukuza: Hakika sote sisi tumo humo humo! Kwani Mwenyezi Mungu kesha hukumu baina ya waja (48) Na walio Motoni watawaambia walinzi wa Jahannamu: Mwombeni Mola wenu Mlezi atupunguzie walau siku moja ya adhabu (49) Nao watasema: Je! Hawakuwa wakikufikieni Mitume wenu kwa hoja zilio wazi? Watasema: Kwani? Watasema: Basi ombeni! Na maombi ya makafiri hayawi ila ni upotevu(50)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafer].
{ وَإِذْ يَتَحَاجُّونَ فِي النَّارِ فَيَقُولُ الضُّعَفَاءُ لِلَّذِينَ اسْتَكْبَرُوا إِنَّا كُنَّا لَكُمْ تَبَعًا فَهَلْ أَنتُم مُّغْنُونَ عَنَّا نَصِيبًا مِّنَ النَّارِ ﴿٤٧﴾ قَالَ الَّذِينَ اسْتَكْبَرُوا إِنَّا كُلٌّ فِيهَا إِنَّ اللَّهَ قَدْ حَكَمَ بَيْنَ الْعِبَادِ ﴿٤٨﴾ وَقَالَ الَّذِينَ فِي النَّارِ لِخَزَنَةِ جَهَنَّمَ ادْعُوا رَبَّكُمْ يُخَفِّفْ عَنَّا يَوْمًا مِّنَ الْعَذَابِ ﴿٤٩﴾ قَالُوا أَوَلَمْ تَكُ تَأْتِيكُمْ رُسُلُكُم بِالْبَيِّنَاتِ ۖ قَالُوا بَلَىٰ ۚ قَالُوا فَادْعُوا ۗ وَمَا دُعَاءُ الْكَافِرِينَ إِلَّا فِي ضَلَالٍ ﴿٥٠﴾ } صدق الله العظيم [غافر].


Kwakua wao wana waomba waja wake pasi na Yeye ili wawa shufaie wao kwa Mola Mlezi wao ili Awapunguzie wao walau siku moja ya adhabu, Na hawa kumomba Allah Moja kwa Moja Subhanahu Anao Yeye Maombi ya haki kwa kua Yeye Ndio Mwenye Huruma kuliko wenye huruma wote! Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Wa kuombwa kweli ni Yeye tu. Na hao wanao waomba badala yake hawawajibu chochote; bali ni kama mwenye kunyoosha viganja vyake kwenye maji ili yafike kinywani mwake, lakini hayafiki. Na maombi ya makafiri hayako ila katika upotovu} Sadaqa Allah Al3adhim [Araad:14].
{ لَهُ دَعْوَةُ الْحَقِّ وَالَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِهِ لَا يَسْتَجِيبُونَ لَهُم بِشَيْءٍ إِلَّا كَبَاسِطِ كَفَّيْهِ إِلَى الْمَاءِ لِيَبْلُغَ فَاهُ وَمَا هُوَ بِبَالِغِهِ وَمَا دُعَاءُ الْكَافِرِينَ إِلَّا فِي ضَلَالٍ } صدق الله العظيم [الرعد: 14].

Basi hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani nataka kuwatoa waja kwa kuabudu waja kwenda kumwabudu Mola Mlezi wa Waja basi wasi ngoje kushufaiwa na waja wake, Fawallahi hato subutu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kumshufaia mtoto wake wa kike lau angekua ni katika watu wa jahim (Asikadirie Allah hayo kwa mtoto wake na amongeze umri wake ju ya kheri), Bali ni hoja kwenu mujuwe kua Allah Yeye Ndio Mwenye Huruma Zaidi kuliko wenye huruma wote,

Na kwa kila hali, Enyi ma3ashara ya walio kufa kwa adhabu ya Allah corona basi wafikishini watu wa jahim kabla yenu kua wasingoje maombezi ya yoyote katika waja wake siku ya dini, Basi wamombe Allah Mbora wa kurehemu kwao kuliko waja wake, Basi waadi wake ni haki kwa kujibu maombi na Yeye ni Mwenye Huruma Kuliko wenye huruma wote, Na wafikishieni kwamba Allah Pindi Akiwafungia wao mlango wa kutubu kutokana na vitendo kwakua wao hawa to tenda ovu baada ya kufa, Bali inataka kila nafsi lau kua baina yake na yale alio yatenda katika maovu yawe mbali wa milele, Bali wa ambieni wao; Hakika ya Allah ikiwa Amefunga mlango wa vitendo baada ya kufa katika kitabu basi hakika Yeye Hakufunga mlango wa duaa Subhanahu, Basi vipi Atafunga mlango wa Ukarimu Wake Na Rahma Yake na Waadi Wake Ni Haki Na Yeye Ndio Mwenye Huruma kuliko wenye huruma wote? Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir:60].
{ وَقَالَ رَبُّكُمُ ٱدۡعُونِیۤ أَسۡتَجِبۡ لَكُمۡۚ إِنَّ ٱلَّذِینَ یَسۡتَكۡبِرُونَ عَنۡ عِبَادَتِی سَیَدۡخُلُون جَهَنَّمَ دَاخِرِینَ }صدق الله العظيم [غافر: 60].

Allahuma nimebalighisha kwamba Wewe Ni Allah Ambae Hakuna Mola ispo kua Wewe Mwenye Huruma kuliko wenye huruma wote, Basi watake kwa Allah Mola Mlezi wao basi watubie kwake ili Awasamehe ma dhambi yao Awaondoshe ju yao yale Alio Wasibu ile wanao ita virusi ya corona wam ahidi Allah kua watam itikia mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani waseme: " Allahuma tukitishe katika waadi Yako na Ahdi Yako kwa Rehema Yako Ewe Ambae Mwenye Kugeuza baina ya mtu na moyo wake hakika ya uwongofu ni uwongofu wako, Na yule ambae Hutomjalia Nuru Basi hana pakupata Nuru"
Na ndio hakika ya uwongofu ni uwongofu wa Allah, Na Sunna ya uwongofu katika kitabu ni kua Yeye Anamogoa kwake yule anae taka, Na hakika itaongezeka Shida ya adhabu basi kimbieni kwa Allah wala musifanye kiburi enyi waja wa Allah Wote, Allahuma nimebalighisha Allahuma Basi Shuhudia.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفةُ الله وعبدُه؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
__________

اقتباس: اضغط للقراءة
Ilisasishwa mwisho: 02-10-2020 11:19 PM