الموضوع: الردّ على محمود من القرآن المجيد بالبيان الحقّ لكلمة التوحيد.. Kurudisha Jibu Kwa Mhmud Kwenye Al'Quran Al'Majid Kwa Bayana Ya Haki Kwa Neno La Tawu'Hid..

1

الردّ على محمود من القرآن المجيد بالبيان الحقّ لكلمة التوحيد.. Kurudisha Jibu Kwa Mhmud Kwenye Al'Quran Al'Majid Kwa Bayana Ya Haki Kwa Neno La Tawu'Hid..


Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
18 - 10 - 1430 هـ
08- 10 - 2009 مـ
11:39 مساءً
ــــــــــــــــــــــــ
https://mahdialumma.xyz/showthread.php?t=14250

الردّ على محمود من القرآن المجيد بالبيان الحقّ لكلمة التوحيد..

Kurudisha Jibu Kwa Mahmud Kwenye Al'Quran Al'Majid Kwa Bayana Ya Haki Kwa Neno La Tawu'Hid..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim,Na Sala Na Salam Ju Ya Khatim Wa Ma'Nabi Na Mitume Na Mbora Wao Na Mjuzi Wao Na Mpenzi Zaidi Kwa Allah Kuliko Wao Na Alio Karibu Zaidi Kuliko Wao Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Al'Tayibin Al'Mutatwahirin Wa salim Tasliman, Ama Ba'Ada Ya Hapo..


Na Ewe Muhumudi, Baina Yangu Na Baina Yako Al'Quran Al'Majid Ambao Amekuja Nayo Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na Nalingania Watu Kwenye Kumabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye Kwa Basira Kutoka Mola Wangu Mlezi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{قُلْ هَٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ}
صدق الله العظيم [يوسف:١٠٨]

Allah Ta3ala Ssema:{Sema Hi Ndio Njiya Yangu Nalingania Kwa Allan Kwa Kujuwa Mimi Na Aliye Nifwata Na Ametakasika Allah Na Mimi Sio Katika Washirikina}
sadaqa Allah Al3adhim[ Yusuf:108].

Na Ame'Mamuru Allah Mtume Wake Kuwa Awajahidi Kwa Kujuwa Kwa Haki Jihadi Kuu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{فَلَا تُطِعِ الْكَافِرِينَ وَجَاهِدْهُمْ بِهِ جِهَادًا كَبِيرًا}
صدق الله العظيم [الفرقان:٥٢]

Allah Ta3ala Asema:{Na Wala Usiwati'ii Makafiri Na Ujahidi Kwa Hi Jihadi Kuu}Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Furqan:62].


Na Suali Ambalo Linajiweka Lenyewe: Nini Hio(Al'Basira) Ambayo Allah Ame'Mwamuru Muhammad Mja Wake Na Mtume Wake Awe Ahojiane Nayo Makafiri? Na Jibu Kutoka Muhakam Ya Al'Kitab, Akasema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{وَأَنْ أَتْلُوَ الْقُرْآنَ فَمَنِ اهْتَدَىٰ فَإِنَّمَا يَهْتَدِي لِنَفْسِهِ وَمَنْ ضَلَّ فَقُلْ إِنَّمَا أَنَا مِنَ الْمُنْذِرِينَ}
صدق الله العظيم [النمل:٩٢]

Allah Ta3ala Asema:{Na Usome Al'Quran Basi Atakae Kuongoka Basi Itakao Ongoka Ni Nafsi Yake Na Atakae Potea Basi Sema ispokuwa Mimi Ila Ni Katika Waonyaji}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnaml:92].

Na Suali Lingine: Na Je Ame'Wamuru Muhammad Mtume Wa Allah Sallah Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuwa Wafanye Alwasila Peke Ni Yake Pasi Na Wao Na Ameharamisha Ju Yao Wawe Washindane Nae Na Wote Waja Wa Allah Walio Kirimiwa Kumpenda Allah Na Kutaka Kuwa Karibu Nae? Na Jibu : Amesema Allah Ta3ala Kwa Ulimi Wa Mtume Wake Katika Al'Quran Ilio Hifadhiwa Kwa Tahrif:
قال الله تعالى على لسان رسوله في القرآن المحفوظ من التحريف:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَابْتَغُوا إِلَيْهِ الْوَسِيلَةَ وَجَاهِدُوا فِي سَبِيلِهِ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ}
صدق الله العظيم [المائدة:٣٥]

Allah Ta3ala Asema:{Enyi Wale Ambao Wamiamini Mcheni Allah Na Mutake Kwake Al'Wasila Na Mujitahidi Katika Njiya Ya Allah Huwenda Mukafaulu} Sadaqa Allah Al3adhim[Almaida:35].


Na Suali: Na Nini Hilo lengo Katika Moyo ili itake Wasila Kwa Mola Mlezi? Na Jibu Ili Washindane Waja Kwa Mola Mlezi Anae Abudiwa Yupi Anae Pendwa Zaidi Na Kuwa Karibu.

Kukatiza: Na Nini Utawala Wa Ilimu Ulio Wazi Katika Kitabu Kwa Hi Fatwa Ilo Kuu? Na Jibu Kwa Utawala Wa Ilmu Kutoka Kitabu Kwa Hi Fatwa Kuu" Kushindana Kwa Waja Kwa Mwenye Kuabudiwa"Nayo Ni Kauli Ya Allah Ta3ala:
قول الله تعالى:
{يَبْتَغُونَ إِلَى رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ}
صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧]

Allah Ta3ala Asema:{Wataka Kwa Mola Wao Al'Wasila Yupi Kati Yao Ni karibu Zaidi}
Sasaqa Allah Al3adhim[Al'Israa:57].


Na Ni Kitu Gani Wataraji Ma'Nabi Na Waumini Kwa Mitume Wa Mola Wao Walio'Kirimiwa kwenye Kushindana Ju Ya Mola Mlezi?: Na Jawabu Kutoka Muhakam Ya Kitabu Amesema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{يَبْتَغُونَ إِلَى رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ}
صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧]

Allah Ta3ala Asema:{Wanataka Kwa Mola Wao Al'Wasila Yupi Karibu Zaidi Na Wanataraji Rahma Yake Na Wanaogopa Adhabu Yake}
Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Israa:57].

Na Suali Lingine: Na Nini Hio Rahma Yake Ambayo Wanaitarajiya Kutoka Kwa Mola Wao Mlezi Mitume Wa Allah Na Wale Walio Wafwata Waka'Amini Ulinganizi Wao? Na Jibu Kutoka Muhakam Ya Alkitabu, Allah Ta3ala Asema:

قال الله تعالى:
{مُحَمَّدٌ رَسُولُ اللَّهِ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاءُ عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاءُ بَيْنَهُمْ تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِنَ اللَّهِ وَرِضْوَانًا سِيمَاهُمْ فِي وُجُوهِهِمْ مِنْ أَثَرِ السُّجُودِ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمْ فِي التَّوْرَاةِ وَمَثَلُهُمْ فِي الْإِنْجِيلِ كَزَرْعٍ أَخْرَجَ شَطْأَهُ فَآزَرَهُ فَاسْتَغْلَظَ فَاسْتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِ يُعْجِبُ الزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ الْكُفَّارَ وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُو الصَّالِحَاتِ مِنْهُمْ مَغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا}
صدق الله العظيم [الفتح:٢٩]

Allah Ta3ala Asema:{Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa}Sadaqa Allah Al3adim[Alfath:29].

Na Suali: Na Je Ameridhika Allah Ju Yao Na Wakaridhika Ju Yake? Na Jibu Katika Muhakam Al'Kitab Amesema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{وَالسَّابِقُونَ الْأَوَّلُونَ مِنَ الْمُهَاجِرِينَ وَالْأَنْصَارِ وَالَّذِينَ اتَّبَعُوهُمْ بِإِحْسَانٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمْ وَرَضُوا عَنْهُ وَأَعَدَّ لَهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي تَحْتَهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا ذَٰلِكَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ}
صدق الله العظيم [التوبة:١٠٠]

Allah Ta3ala Asema:{Na wale walio tangulia, wa kwanza, katika Wahajiri na Ansari, na walio wafuata kwa wema, Mwenyezi Mungu ameridhika nao, na wao wameridhika naye; na amewaandalia Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Tawuba:100].

Na Nini Lengo La Manabi Na Walio Amini Kwa Ulinganizi Wao Na Wakawafwata Wale Ambao Wanao Abudu Ridhwan Allah Basi Nini Watarajia Kutokana Na Hio? Na Jawabu Kutoka Muhakam Alkitab Akasema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِّنَ اللَّهِ وَرِضْوَانًا}
صدق الله العظيم [الفتح:٢٩]

Allah Ta3ala Asema:{Utawaona Wameruku Na Kusujudu Wanataka Fadhla Kutoka Kwa Allah Na Radhi}Sadaqa Allah Al3adhim[Alfath:29].

Suali: Na Nini Hio Fadhla Ya Allah Ambao Amewajulisha Nayo? Na Jibu Kutoka Muhakam Ya Alkitab Akasema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{وَيُدْخِلُهُمُ الْجَنَّةَ عَرَّفَهَا لَهُمْ}
صدق الله العظيم [محمد:٦]

Allah Ta3ala Asema:{Na Atawaingiza Bustani Amewajulisha Wai}Sadaqa Allah Al3adhim[Muhammad6].


Na Nini Hio Kujulishwa Pepo Yake Katika Kitabu? Na Jibu Katika Muhkam Al'Kitab Akasema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{مَثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ أُكُلُهَا دَائِمٌ وَظِلُّهَا تِلْكَ عُقْبَى الَّذِينَ اتَّقَوْا وَعُقْبَى الْكَافِرِينَ النَّارُ}
صدق الله العظيم [الرعد:٣٥]

Allah Ta3ala Asema:{Mfano Wa pepo Ambao Wamiahidiwa Wacha'Mungu Inapita Chini Yake Mito Chakula Chake Cha Kudumu Na Kivuli Chake Hio Ni Mwisho Ya Wale Walio Mogopa Na Mwisho Ya Makafiri Moto}Sadaqa Allah Al3adhim:[Al'Rad:35].

Akasema Allah Ta3ala:
وقال تعالى:
{مَثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ فِيهَا أَنْهَارٌ مِنْ مَاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِنْ لَبَنٍ لَمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِنْ خَمْرٍ لَذَّةٍ لِلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِنْ عَسَلٍ مُصَفًّى وَلَهُمْ فِيهَا مِنْ كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِنْ رَبِّهِمْ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ}
صدق الله العظيم [محمد:١٥]

Allah Ta3ala Asema:{Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao}Sadaqa Allah Al3adhim[Muhammad:15].

Akasema Allah Ta3ala:
وقال تعالى:
{وَبَشِّرِ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ أَنَّ لَهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ كُلَّمَا رُزِقُوا مِنْهَا مِنْ ثَمَرَةٍ رِزْقًا قَالُوا هَٰذَا الَّذِي رُزِقْنَا مِنْ قَبْلُ وَأُتُوا بِهِ مُتَشَابِهًا وَلَهُمْ فِيهَا أَزْوَاجٌ مُطَهَّرَةٌ وَهُمْ فِيهَا خَالِدُونَ}
صدق الله العظيم [البقرة:٢٥]

Allah Ta3ala Asema:{ Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani yapitayo mito kati yake; kila watapo pewa matunda humo, watasema: Haya ndiyo kama tuliyo pewa mbele. Na wataletewa matunda yaliyo fanana; na humo watakuwa na wake walio takasika; na wao humo watadumu}Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:25].

Allah Ta3ala Asema:

وقال تعالى:
{وَدَانِيَةً عَلَيْهِمْ ظِلَالُهَا وَذُلِّلَتْ قُطُوفُهَا تَذْلِيلًا ﴿١٤﴾ وَيُطَافُ عَلَيْهِمْ بِآنِيَةٍ مِنْ فِضَّةٍ وَأَكْوَابٍ كَانَتْ قَوَارِيرَا ﴿١٥﴾ قَوَارِيرَ مِنْ فِضَّةٍ قَدَّرُوهَا تَقْدِيرًا ﴿١٦﴾ وَيُسْقَوْنَ فِيهَا كَأْسًا كَانَ مِزَاجُهَا زَنْجَبِيلًا ﴿١٧﴾ عَيْنًا فِيهَا تُسَمَّىٰ سَلْسَبِيلًا ﴿١٨﴾ وَيَطُوفُ عَلَيْهِمْ وِلْدَانٌ مُخَلَّدُونَ إِذَا رَأَيْتَهُمْ حَسِبْتَهُمْ لُؤْلُؤًا مَنْثُورًا ﴿١٩﴾ وَإِذَا رَأَيْتَ ثَمَّ رَأَيْتَ نَعِيمًا وَمُلْكًا كَبِيرًا ﴿٢٠﴾}
صدق الله العظيم [الانسان]
Allah Ta3ala Asema:{Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini (14)Na watapitishiwa vyombo vya fedha na vikombe vya vigae(15)Vya fedha safi kama kiyoo, wamevipima kwa vipimo(16)Na humo watanyweshwa kinywaji kilicho changanyika na tangawizi(17)Hiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil(18)Na watawazungukia kuwatumikia wavulana wasio pevuka, ukiwaona utawafikiri ni lulu zilizo tawanywa(19)Na utakapo yaona, utakuwa umeona neema na ufalme mkubwa(20)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alinsan].

Aksema Allah Ta3ala:
وقال تعالى:
{فِي جَنَّةٍ عَالِيَةٍ ﴿١٠﴾ لَا تَسْمَعُ فِيهَا لَاغِيَةً ﴿١١﴾ فِيهَا عَيْنٌ جَارِيَةٌ ﴿١٢﴾ فِيهَا سُرُرٌ مَرْفُوعَةٌ ﴿١٣﴾ وَأَكْوَابٌ مَوْضُوعَةٌ ﴿١٤﴾ وَنَمَارِقُ مَصْفُوفَةٌ ﴿١٥﴾ وَزَرَابِيُّ مَبْثُوثَةٌ ﴿١٦﴾}
صدق الله العظيم [الغاشية]

Allah Ta3ala Asema:{Katika Bustani ya juu(10)Hawatasikia humo upuuzi(11)Humo imo chemchem inayo miminika(12)Humo vimo viti vilivyo nyanyuliwa(13)Na bilauri zilizo pangwa(14)Na matakia safu safu(15)Na mazulia yaliyo tandikwa(16)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alghashia].

Akasema Ta3al:
وقال تعالى:
{يُحَلَّوْنَ فِيهَا مِنْ أَسَاوِرَ مِنْ ذَهَبٍ وَلُؤْلُؤًا وَلِبَاسُهُمْ فِيهَا حَرِيرٌ}
صدق الله العظيم [فاطر: ٣٣]

Allah Ta3ala:{ Mabustani ya milele watayaingia. Huko watavikwa vikuku vya dhahabu, na lulu, na nguo zao humo ni za hariri}Sadaqa Allah Al3dhim[Fater:33]

Akasema Ta3ala:{
وقال تعالى:
{عَالِيَهُمْ ثِيَابُ سُنْدُسٍ خُضْرٌ وَإِسْتَبْرَقٌ وَحُلُّوا أَسَاوِرَ مِنْ فِضَّةٍ وَسَقَاهُمْ رَبُّهُمْ شَرَابًا طَهُورًا}
صدق الله العظيم [الانسان: ٢١]

Allah Ta3ala Asema:{Juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi, na hariri nzito ya at'ilasi. Na watavikwa vikuku vya fedha, na Mola wao Mlezi atawanywesha kinywaji safi kabisa}Sadaqa Allah Al3adhim[Alinsan:21].
Akasema Ta3ala:
وقال تعالى:
{مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ رَفْرَفٍ خُضْرٍ وَعَبْقَرِيٍّ حِسَانٍ}
صدق الله العظيم [الرحمن: ٧٦]
Allah Ta3ala:{Wameegemea juu ya matakia ya kijani na mazulia mazuri}Sadaqa Allah Al'3adhim[Al'Rahman:76].

Akasema Allah Ta3ala:
وقال تعالى:
{مُتَّكِئِينَ فِيهَا عَلَى الْأَرَائِكِ لَا يَرَوْنَ فِيهَا شَمْسًا وَلَا زَمْهَرِيرًا}
صدق الله العظيم [الانسان:١٣]

Allah Ta3ala Asema:{Humo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali}Sadaqa Allah Al3adhim[Alinsan:13].

Akasema Allah Ta3al:
وقال تعالى:
{إِنَّ الْمُتَّقِينَ فِي مَقَامٍ أَمِينٍ ﴿٥١﴾ فِي جَنَّاتٍ وَعُيُونٍ ﴿٥٢﴾ يَلْبَسُونَ مِنْ سُنْدُسٍ وَإِسْتَبْرَقٍ مُتَقَابِلِينَ ﴿٥٣﴾ كَذَٰلِكَ وَزَوَّجْنَاهُمْ بِحُورٍ عِينٍ ﴿٥٤﴾ يَدْعُونَ فِيهَا بِكُلِّ فَاكِهَةٍ آمِنِينَ ﴿٥٥﴾}
صدق الله العظيم [الدخان]
Allah Ta3ala Asema:{Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani(51)Katika mabustani na chemchem(52)Watavaa hariri nyepesi na hariri nzito wakikabiliana(53)Hivi ndivyo itakavyo kuwa, na tutawaoza mahurilaini(54)Humo watataka kila aina ya matunda, na wakae kwa amani(55)}Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Dukhan].

Akasema Allah Ta3ala:
وقال تعالى:
{يُطَافُ عَلَيْهِمْ بِصِحَافٍ مِنْ ذَهَبٍ وَأَكْوَابٍ وَفِيهَا مَا تَشْتَهِيهِ الْأَنْفُسُ وَتَلَذُّ الْأَعْيُنُ وَأَنْتُمْ فِيهَا خَالِدُونَ}
صدق الله العظيم [الزخرف:٧١]
Allah Ta3ala Asema:{Watakuwa wanapitishiwa sahani za dhahabu na vikombe; na vitakuwamo ambavyo nafsi zinavipenda na macho yanavifurahia, na nyinyi mtakaa humo milele}Sadaqa Allah Al3adhim[Alzukhruf:71].

Akasema Allah Ta3al:
وقال تعالى:
{فِيهِنَّ قَاصِرَاتُ الطَّرْفِ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنْسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ ﴿٥٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٧﴾ كَأَنَّهُنَّ الْيَاقُوتُ وَالْمَرْجَانُ ﴿٥٨﴾}
صدق الله العظيم [الرحمن]
Allah Ta3ala Asema:{Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini(56)Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha(57)Kama kwamba wao ni yakuti na marijani(58)}Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Rahman].

Akasema Ta3ala:
وقال تعالى:
{فِيهِنَّ خَيْرَاتٌ حِسَانٌ ﴿٧٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧١﴾ حُورٌ مَقْصُورَاتٌ فِي الْخِيَامِ ﴿٧٢﴾}
صدق الله العظيم [الرحمن]
Allah Ta3ala Asema:{Humo wamo wanawake wema wazuri(70)Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha(71)Wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema(72)}Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Rahman].

Akasema Ta3ala:
وقال تعالى:
{فَلَا تَعْلَمُ نَفْسٌ مَا أُخْفِيَ لَهُمْ مِنْ قُرَّةِ أَعْيُنٍ جَزَاءً بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ}
صدق الله العظيم [السجدة: ١٧]
Allah Ta3ala Asema:{Nafsi yoyote haijui waliyo fichiwa katika hayo yanayo furahisha macho - ni malipo ya yale waliyo kuwa wakiyatenda}Sadaqa Allah Al3adhim[Alsajida:17].

Akasema Ta3ala:
وقال تعالى:
{لِلَّذِينَ أَحْسَنُوا الْحُسْنَىٰ وَزِيَادَةٌ وَلَا يَرْهَقُ وُجُوهَهُمْ قَتَرٌ وَلَا ذِلَّةٌ أُولَٰئِكَ أَصْحَابُ الْجَنَّةِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ}
صدق الله العظيم [يونس:٢٦]

Allah Ta3ala Asema:{Kwa wafanyao wema ni wema na zaidi. Wala vumbi halitawafunika nyuso zao, wala madhila. Hao ndio watu wa Peponi. Humo watadumu}Sadaqa Allah Al3adhim[Alsajida:26].

Taratibu Taratibu Nini Hio Zaidi Ju Ya Bustani Al'Na3im"Janat Al'Na3im"?
Na Jibu Kutoka Muhakam Al'Kitab Amesema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِّنَ اللَّهِ وَرِضْوَانًا}
صدق الله العظيم [الفتح:٢٩]

Allah Ta3ala Asema:{Utawaona Waruku Na Kusujudu Wanataka Fadhla Kutoka Kwa Allah Na Ridha Zake}Sada Allah Al'3adhim[Alfath:29].

Kwa Hivo Al'Na3im Ambao Itazidi Kuliko Janat Al'Na3im Nayo Ni Na3im Ridhwan Ya Allah Ju Yao,Na Mulizaji Asema: Taratibu Taratibu Na Vipi itakuwa Na3im Ridhwani Yake Ju Ya Waja Wake, Na Je Hio Ni Na3im Ya Ki Roho Ama Na3im Ya Kivitu ? Na Jibu Kutoka Muhakam Ya Kitabu;Bali Hio Ni Na3im Ridhwan Ya Mola Mlezi Roho Anaiweka Kwenye Moyo,Asema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى :
{فَأَمَّا إِنْ كَانَ مِنَ الْمُقَرَّبِينَ ﴿٨٨﴾ فَرَوْحٌ وَرَيْحَانٌ وَجَنَّتُ نَعِيمٍ ﴿٨٩﴾}
صدق الله العظيم [الواقعة]

Allah Ta3ala Asema:{Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa(88)Basi ni raha, na manukato, na Bustani zenye neema(89)}Sasaqa Allah Al3adhim[Alwaqia].

Suala Lajiweka Lenyewe: Na Je Na3im Ya Bustani Ni Kubwa Ama Na3im Ya Ridhwani Ya Allah Ju Ya Waja Wake? Na Jibu Kutoka Muhakam Ya Al'Kitab:
{وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ}
صدق الله العظيم [التوبة:٧٢]

Allah Ta3ala Asema:{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba:72].

Na Kuhusu Al'Na3im Al'A3dham Wataulizwa Kwajili Inao Siri Ya Kumbwa Kwao,
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ ﴿١﴾ حَتَّىٰ زُرْتُمُ الْمَقَابِرَ ﴿٢﴾ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿٣﴾ ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿٤﴾ كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ الْيَقِينِ ﴿٥﴾ لَتَرَوُنَّ الْجَحِيمَ ﴿٦﴾ ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ الْيَقِينِ ﴿٧﴾ ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ ﴿٨﴾}
صدق الله العظيم [التكاثر]

Allah Ta3ala Asema:{Kumekushughulisheni kutafuta wingi(1)Mpaka mje makaburini(2)Sivyo hivyo! Mtakuja jua(3)Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua(4)Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini(5)Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu(6)Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini(7)}Sadaqa Allah Al3adhim[Altakathir].

Suali Lingine: Nini Hio Siri Ya Hikma Kwa Kumba Allah Waja Wake Je Ni Kwajili Awaingize Mabustani Yake Ama Awadhibu Kwa Moto Wake? Na Jawabu Kutoka Muhakam Ya Kitabu Akasema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ}
صدق الله العظيم [الذاريات:٥٦]

Allah Ta3ala Asema:{Na Siku'Umba Majini Na Watu Ila Waniabudu Mimi}Sadaqa Allah Al3adhim[Aldhariyat:56].


{وَلَقَدْ بَعَثْنَا فِي كُلِّ أُمَّةٍ رَسُولًا أَنِ اُعْبُدُوا اللَّهَ وَاجْتَنِبُوا الطَّاغُوتَ}
صدق الله العظيم [النحل:٣٦]
Allah Ta3ala Asema:
{Na Tumetumiliza Katila Kila Umma Mtume Kuwa Muabuduni Allah Na Mujitenge Na Taghut}Sadaqa Allah Al3adhim{Alnahl:26].

{وَقَضَى رَبُّكَ أَلَّا تَعْبُدُوا إِلَّا إِيَّاهُ}
صدق الله العظيم [الإسراء:٢٣]
{Na Ameweka Amri Mola Wako Mlezi Kuaa Musiabudu Ila Yeye}Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra:23].


{وَاعْبُدُوا اللَّهَ وَلَا تُشْرِكُوا بِهِ شَيْئًا}
صدق الله العظيم [النساء:٣٦]
{Na Mum'Abudu Allah Na Wala Musi'Msirikishe Na Yeye Kitu}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnisa:36].


Suali Muhimu Amesema Allah Ta3ala:
. قال الله تعالى
{اعْلَمُوا أَنَّمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا لَعِبٌ وَلَهْوٌ وَزِينَةٌ وَتَفَاخُرٌ بَيْنَكُمْ وَتَكَاثُرٌ فِي الْأَمْوَالِ وَالْأَوْلَادِ كَمَثَلِ غَيْثٍ أَعْجَبَ الْكُفَّارَ نَبَاتُهُ ثُمَّ يَهِيجُ فَتَرَاهُ مُصْفَرًّا ثُمَّ يَكُونُ حُطَامًا}
صدق الله العظيم [الحديد:20]
Allah Ta3ala Asema:
{Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. Mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua}Sadaqa Allah Al3adhim[Alhadid:20].

Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تُلْهِكُمْ أَمْوَالُكُمْ وَلَا أَوْلَادُكُمْ عَنْ ذِكْرِ اللَّهِ وَمَنْ يَفْعَلْ ذَٰلِكَ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ}
صدق الله العظيم [المنافقون:٩]
Allah Ta3ala Asema:
{Enyi Ambao Mulio Amini Isi'Washugulishe Mali Zenu Wala Watoto Wenu Kwa Ukumbusho Wa Allah Na Atakae Fanya Hivo Ba'Ada Hayo Basi Hao Ndio Walio Hasirika}Sadaqa Allah Al3adhim[Almunafikin:9].

Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّ وَعْدَ اللَّهِ حَقٌّ فَلَا تَغُرَّنَّكُمُ الْحَيَاةُ الدُّنْيَا وَلَا يَغُرَّنَّكُمْ بِاللَّهِ الْغَرُورُ}
صدق الله العظيم [فاطر:٥]
Allah Ta3ala Asema:{Enyi Watu Hakika Miadi Ya Allah Ni Haki Basi Isiwaghuri Maisha Ya Duniya Wala Isiwaghuri Kwa Allah Kughurika}Sadaqa Allah Al3adhim[Fatir:5].


Na Suali Hilo Ni Je Pindi Iki'Washughulisha Maisha Ya Duniya Kutokana Na Hikma Ya Ku'Umbwa Kwao Mpaka Ifike Ajali Yao, Na Nini Atawauliza Allah Kuhusu hio Siku Ya Kukutana Nae?
Na Njibu Kutoka Muhakam Ya Kitabu:
أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ ﴿١﴾ حَتَّىٰ زُرْتُمُ الْمَقَابِرَ ﴿٢﴾ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿٣﴾ ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿٤﴾ كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ الْيَقِينِ ﴿٥﴾ لَتَرَوُنَّ الْجَحِيمَ ﴿٦﴾ ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ الْيَقِينِ ﴿٧﴾ ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ ﴿٨﴾}
صدق الله العظيم [التكاثر]

Allah Ta3ala Asema:{Kumekushughulisheni kutafuta wingi(1)Mpaka mje makaburini(2)Sivyo hivyo! Mtakuja jua(3)Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua(4)Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini(5)Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu(6)Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini(7)}Sadaqa Allah Al3adhim[Altakathir].



Na Sasa Imebainika Kwa Watu Ile Hikma Ya Ku'Umbwa Kwao inahitaji Siri Ya Hikma Ya Kumbwa Kwao Katika Neema Ambao Ime'Washughilisha Kwa Kuwa Wengi Katika Maisha Ya Duniya Na Pambo Lake Basi Kwa Neema Ambao Ilio Washughulisha Nayo Kuwa Wengi Katika Maisha Ya Dunia Ndio Wataulizwa Kwajili Hio Ni Hikma Ya Kumbwa Kwao Katika Haya Maisha Ya Dunia Vile Nilivo Bainisha Kwa Watu Kutoka Kwa Kitabu.

Na Suali Ambalo Ni Muhimu Zaidi:Na Je Neema Ya Ridhwan Ya Allah Ni Kubwa Kuliko(Janat Al'Na3im)Neema Ya Bustani Ambao Ame'waidi?
Na Jibu Liko Kutoka Muhakam Al'Kitab Amesema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ}
صدق الله العظيم [التوبة:٧٢]

Allah Ta3ala Asema:
{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba:72].

Kwahivo hio Neema Ambao Itazidi Ju Ya neema Ya Bustani Ni Neema Ya Ridhwan Al'Rahman,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{لِلَّذِينَ أَحْسَنُوا الْحُسْنَىٰ وَزِيَادَةٌ وَلَا يَرْهَقُ وُجُوهَهُمْ قَتَرٌ وَلَا ذِلَّةٌ أُولَٰئِكَ أَصْحَابُ الْجَنَّةِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ}
صدق الله العظيم [يونس:٢٦]

Allah Ta3ala Asema:
{Kwa wafanyao wema ni wema na zaidi. Wala vumbi halitawafunika nyuso zao, wala madhila. Hao ndio watu wa Peponi. Humo watadumu}Sadaqa Allah Al3adhim[Yunus:26].

Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

وتصديقاً لقول الله تعالى:
{ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ ۖ ذَٰلِكَ يَوْمُ الْخُلُودِ ﴿٣٤﴾ لَهُمْ مَا يَشَاءُونَ فِيهَا وَلَدَيْنَا مَزِيدٌ ﴿٣٥﴾}
صدق الله العظيم [ق]
Allah Ta3ala Asema:
{Muingie Kwa Amani Hio Ni Siku Ya Milele(34)Wanayo Wanacho Taka Ndani Yake Na Tuna Zaidi(35)}Sadaqa Allah Al3adhim[qaaf].

Basi Imebainika Kuwa Ya Zaidi Nayo Sio Kumona Allah Kama Wanavo Sema Ju Ya Allah Wale Ambao Hawajuwi Bali Neema Ilio Zidi Ni Neema Zaidi Kuliko Neema Ya Bustani Bali Ni Zaidi Na Ni Kubwa Kuliko Hio Nayo Ni Neema Ya Ridhwan Allah(Na3im Ridhwan Alah), Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ}
صدق الله العظيم [التوبة:٧٢]

Allah Ta3ala Asema:
{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba:72].

Kwahivo Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani Nijulishe Nini Hio Daraja Ya Ju Katika Bustani Ambao Anataraji Kila Mja Katika Waja Wa Allah Katika Ma'Nabi Na Watu Wema Watu Wa Mungu Awe Yeye Ndio Mwenye Hio Daraja? Na Jibu Kutoka Muhakam Alkitab Kuwa Bustani Ambao Awaidi Allah Wacha'Mungu Nayo Gorofa Moja Upana Wake Upana Wa mbingu Na Ardhi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَعِبَادُ الرَّحْمَٰنِ الَّذِينَ يَمْشُونَ عَلَى الْأَرْضِ هَوْنًا وَإِذَا خَاطَبَهُمُ الْجَاهِلُونَ قَالُوا سَلَامًا ﴿٦٣﴾ وَالَّذِينَ يَبِيتُونَ لِرَبِّهِمْ سُجَّدًا وَقِيَامًا ﴿٦٤﴾ وَالَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَا اصْرِفْ عَنَّا عَذَابَ جَهَنَّمَ ۖ إِنَّ عَذَابَهَا كَانَ غَرَامًا ﴿٦٥﴾ إِنَّهَا سَاءَتْ مُسْتَقَرًّا وَمُقَامًا ﴿٦٦﴾ وَالَّذِينَ إِذَا أَنْفَقُوا لَمْ يُسْرِفُوا وَلَمْ يَقْتُرُوا وَكَانَ بَيْنَ ذَٰلِكَ قَوَامًا ﴿٦٧﴾ وَالَّذِينَ لَا يَدْعُونَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ وَلَا يَقْتُلُونَ النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ وَلَا يَزْنُونَ ۚ وَمَنْ يَفْعَلْ ذَٰلِكَ يَلْقَ أَثَامًا ﴿٦٨﴾ يُضَاعَفْ لَهُ الْعَذَابُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَيَخْلُدْ فِيهِ مُهَانًا ﴿٦٩﴾ إِلَّا مَنْ تَابَ وَآمَنَ وَعَمِلَ عَمَلًا صَالِحًا فَأُولَٰئِكَ يُبَدِّلُ اللَّهُ سَيِّئَاتِهِمْ حَسَنَاتٍ ۗ وَكَانَ اللَّهُ غَفُورًا رَحِيمًا ﴿٧٠﴾ وَمَنْ تَابَ وَعَمِلَ صَالِحًا فَإِنَّهُ يَتُوبُ إِلَى اللَّهِ مَتَابًا ﴿٧١﴾ وَالَّذِينَ لَا يَشْهَدُونَ الزُّورَ وَإِذَا مَرُّوا بِاللَّغْوِ مَرُّوا كِرَامًا ﴿٧٢﴾ وَالَّذِينَ إِذَا ذُكِّرُوا بِآيَاتِ رَبِّهِمْ لَمْ يَخِرُّوا عَلَيْهَا صُمًّا وَعُمْيَانًا ﴿٧٣﴾ وَالَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَا هَبْ لَنَا مِنْ أَزْوَاجِنَا وَذُرِّيَّاتِنَا قُرَّةَ أَعْيُنٍ وَاجْعَلْنَا لِلْمُتَّقِينَ إِمَامًا ﴿٧٤﴾ أُولَٰئِكَ يُجْزَوْنَ الْغُرْفَةَ بِمَا صَبَرُوا وَيُلَقَّوْنَ فِيهَا تَحِيَّةً وَسَلَامًا ﴿٧٥﴾ خَالِدِينَ فِيهَا ۚ حَسُنَتْ مُسْتَقَرًّا وَمُقَامًا ﴿٧٦﴾}
صدق الله العظيم [الفرقان]

Allah Ta3ala Asema:
{Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa staha, na wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama(63)Na wale wanao kesha kwa ajili ya Mola wao Mlezi kwa kusujudu na kusimama(64)Na wale wanao sema: Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu ya Jahannamu. Hakika adhabu yake ikimpata mtu haimwachi(65)Hakika hiyo ni kituo na makao mabaya(66)Na wale ambao wanapo tumia hawatumii kwa fujo wala hawafanyi ubakhili, bali wanakuwa katikati baina ya hayo(67)Na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyo iharimisha Mwenyezi Mungu isipo kuwa kwa haki, wala hawazini - na atakaye fanya hayo atapata madhara(68)Atazidishiwa adhabu Siku ya Kiyama, na atadumu humo kwa kufedheheka(69)Isipo kuwa atakaye tubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. Basi hao Mwenyezi Mungu atayabadilisha maovu yao yawe mema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu(70)Na aliye tubu na akafanya mema, basi hakika huyo ametubu kweli kweli kwa Mwenyezi Mungu(71)Na wale ambao hawatoi ushahidi wa uwongo, na pindi wapitapo penye upuuzi, hupita kwa hishima yao(72)Na wale ambao wanapo kumbushwa Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi viziwi nazo, na vipofu(73)Na wale wanao sema: Mola wetu Mlezi! Tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu(74)Hao ndio watakao lipwa viyumba va juu kwa kuwa walisubiri, na watakuta humo maamkio na salamu(75)Wadumu humo - kituo na makao mazuri kabisa(76)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alfurqan].

Kwahivo Bustani Ambao Upana Wake Ni Upana Wa Mbingu Na Ardhi Inakuwa Ni Chumba Kimoja Kikubwa Ndani Yake Viyumba Vimejengwa Ju Yake Viyumba,Kusadikisha Kauli Ya Tllah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{لَكِنِ الَّذِينَ اتَّقَوْا رَبَّهُمْ لَهُمْ غُرَفٌ مِنْ فَوْقِهَا غُرَفٌ مَبْنِيَّةٌ}
صدق الله العظيم [الزمر: ٢٠]

Allah Ta3ala Asema:
{Lakini Wale Wame'Mcha Mola Wao Mlezi Watapata Viyumba Ju Yake Viyumba Vimejengwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Alzumur:20].


Na Chumba Cha Ju Kabisa Katika Zote Imiambatana Na Arshi Ya Al'Rahman Na Haitakiwi Ila Iwe Kwa Mja Moja Katika Waja Wa Allah Sawa Iwe Ni Mja Katika Waja Wa Allah Wema Ama Katika Ma Nabi Na Mitume, Basi Yoyote Ni Karibu Kwa Allah Ataka Yeye Na Kwa Hio Ndio Wanashindana Yupi Ni Karibu kwa Allah ili Ashinde Nayo,Na Kila Mja Katika Waja Wa Al'Rahman Watu Wa Mungu Anataraji Awe Ni Yeye Yule Mja,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{يَبْتَغُونَ إِلَى رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ}
صدق الله العظيم [الإسراء]

Allah Ta3ala Asema:
{Wanataka Kwa Mola Wao Mlezi Al'Wasila Yupi Ni Karibu Na Wanataraji Rahma yake Na Wanaogopa Adhabu Yake}Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra].


Basi Wutake Kwa Mola Wenu Al'Wasila Yupi Ni Karibu Zaidi mpaka Awe Mwenye Ile Gorofa Ilioko Ju Kwemye Mwisho Wa Bustani Bali Hio nayo Ni Tirmana Ya Bustani Ambayo Upana Wake Ni Mbingu Na Ardhi,Akadhani Suleman Kuwa Al'Wasila Ni Jihad Kwa Njiya Ya Allah Na Kuinuwa Jina La Allah Kwenye Ardhi Na kuingiza Watu Kwenye Uwislamu Kwa Hiyari Ama Kwa Nguvu Na Wao Ni Wanyonge, Kwajili Ya Hivo Amesema:
ولذلك قال:
{رَبِّ اغْفِرْ لِي وَهَبْ لِي مُلْكًا لَا يَنْبَغِي لِأَحَدٍ مِنْ بَعْدِي إِنَّكَ أَنْتَ الْوَهَّابُ}
صدق الله العظيم [ص:٣٥]

Allah Ta3ala Asema:
{Mola Wangu Mlezi Nighufurie Na Unipe Ufalme Haitakiwi Ba'Ada Yangu Hakika Wewe Ni Al'Wahab}Sadaqa Allah Al3adhim[Saad:35].


Na Pindi Alipo Juwa Kuwa Kwabudiwa Pasi Na Allah Mji Wa Saba'a Amiwandikia Akasema:
{إِنَّهُ مِنْ سُلَيْمَانَ وَإِنَّهُ بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ ﴿٣٠﴾ أَلَّا تَعْلُوا عَلَيَّ وَأْتُونِي مُسْلِمِينَ ﴿٣١﴾}
صدق الله العظيم [النمل]

Allah Ta3ala Asema:
{Imetoka kwa Sulaiman nayo ni: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu30)Msinifanyie jeuri, na fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye kusalimu(31)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnaml].

Na Pindi Alipo Tuma Malikia Wa Saba'a Kwa Zawadi Matani Ya Ma Alfu Ya Dhahabu Safi Akasema:
{فَلَمَّا جَاءَ سُلَيْمَانَ قَالَ أَتُمِدُّونَنِ بِمَالٍ فَمَا آتَانِيَ اللَّهُ خَيْرٌ مِمَّا آتَاكُمْ بَلْ أَنْتُمْ بِهَدِيَّتِكُمْ تَفْرَحُونَ ﴿٣٦﴾ ارْجِعْ إِلَيْهِمْ فَلَنَأْتِيَنَّهُمْ بِجُنُودٍ لَا قِبَلَ لَهُمْ بِهَا وَلَنُخْرِجَنَّهُمْ مِنْهَا أَذِلَّةً وَهُمْ صَاغِرُونَ ﴿٣٧﴾}
صدق الله العظيم [النمل]

Allah Ta3ala Asema:
{Basi alipo fika (mjumbe) kwa Sulaiman, alisema (Sulaiman): Hivyo ndio nyinyi mnanisaidia kwa mali? Aliyo nipa Mwenyezi Mungu ni bora zaidi kuliko aliyo kupeni nyinyi. Lakini nyinyi mnafurahia hii zawadi yenu(36)Rejea kwao! Kwa yakini sisi tutawajia kwa majeshi wasio yaweza kuyakabili. Na hakika tutawatoa humo na hali wao wamekuwa madhalili na wanyonge(37)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnaml]


Na Akataka Kukata Njia Kwa Wengine Katika Waja Wa Allah Ashinde Yeye Kwa Daraja Ya Juu Ilio Inuka Lakini Allah Amempa Ufalme Haitakiwi Kwa Yoyote Bada Yake Katika Ahli Ya Nyuba Yake Basi Akamiliki Majini Na Mandege Na Upepo Na Vipi wataweza Kumiliki Ba'Ada Yake? Lakini Daraja Ya Chumba Cha Juu katika Bustani Hakuipata Yeye Na Akampa Aallah Katika Ma viyumba Va Manabi Chini Yake Na Hakuipoteza Allah ujira Wake Lakini Yeye Hakuitambuwa Alwasila Ya Hakika.


Na Hivo Ndio Wana'Tafuta Waja Wa Allah Walikaribishwa kutafuta Al'Wasila Ya Haki Ili Ashinde Kwa Daraja Ilio Inuka Juu Katika Bustani Kama Vile Tulivo Wajulisha Kwenu Katika Muhakam Ya kitabu Kuwa Ni Gorofa Ya Juu Ilio Jengwa Katika Ma'Bustani Ya Neema Bali Hio Ni Termanatun Ilio Jengwa Katika Kilele Ya Bustanj Ya Neema Sakafu Yake Arshi Ya Al'Rahman Moja Kwa Moja Na Hakuna Baina Yake Na baina Ya Dhati Yake Al'Rahman Ispokuwa Hijabu Kwajili Ya Hivo Wanashindana Ju Yake Wote Waja Wa Allah Walio'Karibishwa,
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{يَبْتَغُونَ إِلَى رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ}
صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧]
Allah Ta3ala Asema:
{Wanataka Kwa Mola Wao Mlezi Al'Wasila Yupi Karibu Na Wataraji Rahma Yake Na Wanaogopa Moto Wake}Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra:57].



Kwahivo Ewe Ambae Ni Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Basi Nani Huyo Alio Shinda Nayo Katik Waja Wa Allah ? Alafu Anarudisha Jibu Al'Imam Al'Mahdi Kwa Al'Na3im Al'A3dham Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Ameshinda Nayo Katika Ilmu Al'Kitab Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kama Vile Alivo Mbashiria Kwa Hayo Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam-Wakati Alipo kutana Nae Katika Ndoto Ya Haki Alafu Akambashiria Nayo Muhammad Mtume Wa Allah Kwa Idhni Ya Allah Alafu Akamzawadia Babu Yake Kujikurubisha Kwa Mola Wake Mlezi Kama Wasila Kwa Al'Rahman Ili Ipatikane Kutimu Neema Kuu Kuliko Hio Basi Ndio Allah Awe Radhi Kwenye Nafsi Yake, Na Najilinda Na Allah Niwe Niridhike Na Hiyo Na Mimi Najuwa Anacho Kisema Al'Rahman Ndani Ya Nafsi Yake Sababu Kudhulumu Waja Wake Nafsi Zao:
{يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ ۚ مَا يَأْتِيهِمْ مِنْ رَسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٣٠﴾ أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُمْ مِنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ ﴿٣١﴾ وَإِنْ كُلٌّ لَمَّا جَمِيعٌ لَدَيْنَا مُحْضَرُونَ ﴿٣٢﴾}
صدق الله العظيم [يس]

Allah Ta3ala Asema:{Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli(30)Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao(31)Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu(32)}Sadaqa Allah Al3adhim[Yasin].


Taratibu Taratibu, Na Lini Anasema Allah Katika Nafsi Yake? Na Jibu Kutoka Kwa Muhakam Al'Kitab Wakati Akiwangamiza Kwa Sababu Ku'Kadhibisha Mitume Wa Mola Wao Mlezi, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{وَاضْرِبْ لَهُمْ مَثَلاً أَصْحَابَ الْقَرْيَةِ إِذْ جَاءَهَا الْمُرْسَلُونَ (13) إِذْ أَرْسَلْنَا إِلَيْهِمْ اثْنَيْنِ فَكَذَّبُوهُمَا فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ فَقَالُوا إِنَّا إِلَيْكُمْ مُرْسَلُونَ (14) قَالُوا مَا أَنْتُمْ إِلاَّ بَشَرٌ مِثْلُنَا وَمَا أَنزَلَ الرَّحْمَنُ مِنْ شَيْءٍ إِنْ أَنْتُمْ إِلاَّ تَكْذِبُونَ (15) قَالُوا رَبُّنَا يَعْلَمُ إِنَّا إِلَيْكُمْ لَمُرْسَلُونَ (16) وَمَا عَلَيْنَا إِلاَّ الْبَلاغُ الْمُبِينُ (17) قَالُوا إِنَّا تَطَيَّرْنَا بِكُمْ لَئِنْ لَمْ تَنتَهُوا لَنَرْجُمَنَّكُمْ وَلَيَمَسَّنَّكُمْ مِنَّا عَذَابٌ أَلِيمٌ (18) قَالُوا طَائِرُكُمْ مَعَكُمْ أَئِنْ ذُكِّرْتُمْ بَلْ أَنْتُمْ قَوْمٌ مُسْرِفُونَ (19) وَجَاءَ مِنْ أَقْصَى الْمَدِينَةِ رَجُلٌ يَسْعَى قَالَ يَا قَوْمِ اتَّبِعُوا الْمُرْسَلِينَ (20) اتَّبِعُوا مَنْ لا يَسْأَلُكُمْ أَجْراً وَهُمْ مُهْتَدُونَ (21) وَمَا لِي لا أَعْبُدُ الَّذِي فَطَرَنِي وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ (22) أَأَتَّخِذُ مِنْ دُونِهِ آلِهَةً إِنْ يُرِدْنِي الرَّحْمَنُ بِضُرٍّ لا تُغْنِ عَنِّي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئاً وَلا يُنقِذُونِ (23) إِنِّي إِذاً لَفِي ضَلالٍ مُبِينٍ (24) إِنِّي آمَنْتُ بِرَبِّكُمْ فَاسْمَعُونِ (25) قِيلَ ادْخُلْ الْجَنَّةَ قَالَ يَا لَيْتَ قَوْمِي يَعْلَمُونَ (26 )بِمَا غَفَرَ لِي رَبِّي وَجَعَلَنِي مِنَ الْمُكْرَمِينَ (27))وَمَا أَنزَلْنَا عَلَى قَوْمِهِ مِنْ بَعْدِهِ مِنْ جُندٍ مِنْ السَّمَاءِ وَمَا كُنَّا مُنزِلِينَ (28) إِنْ كَانَتْ إِلاَّ صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ (29) يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِمْ مِنْ رَسُولٍ إِلاَّ كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُون (30) أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُمْ مِنْ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لا يَرْجِعُونَ (31) وَإِنْ كُلٌّ لَمَّا جَمِيعٌ لَدَيْنَا مُحْضَرُونَ (32)}
صدق الله العظيم [يس]

Allah Ta3ala Asema:{Na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa(13)Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu(14)Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo(15)Wakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu(16)Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi(17)Wakasema: Sisi tumeagua kuwa nyinyi ni wakorofi. Ikiwa hamtaacha basi kwa yakini tutakupigeni mawe, na mtapata adhabu chungu kutoka kwetu(18)Wakasema: Ukorofi wenu mnao wenyewe! Je! Ni kwa kuwa mnakumbushwa? Ama nyinyi ni watu walio pindukia mipaka(19).Na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mjini, akasema: Enyi watu wangu! Wafuateni hawa walio tumwa(20)Wafuateni ambao hawakutakini ujira, hali ya kuwa wenyewe wameongoka(21)NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa(22)Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa(23)Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri(24)Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni(25)Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua(26)Jinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio hishimiwa(27)Na hatukuwateremshia kaumu yake baada yake jeshi kutoka mbinguni, wala si wenye kuteremsha(28)Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa!(29)Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli(30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao(31)Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu(32)}Sadaqa Allah Al3adhim[Yasin].


Na Wala Haitotimu Neema Kuu(Al'Na3im Al'A3dham) Basi Ndio Allah Awe Radhi Katika Nafsi Yake Ju Ya Waja Wake Mpaka Awaingize Kwenye Rehma Yake Ndio Awafanye Umma Moja, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ لآمَنَ مَنْ فِي الأَرْضِ كُلُّهُمْ جَمِيعًا}
صدق الله العظيم [يونس:٩٩]

allah Ta3ala Asema:{Na Lau Atataka Mola Wako Mlezi Wange Amini Ambae Yuko Katika Ardhi Wote Pamoja}Sadaqa Allah Al3adhim[Yunus:99].

Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
وتصديقاً لقول الله تعالى:
{وَلَوْ شَاءَ اللَّهُ لَجَعَلَكُمْ أُمَّةً وَاحِدَةً وَلَٰكِنْ لِيَبْلُوَكُمْ فِي مَا آتَاكُمْ فَاسْتَبِقُوا الْخَيْرَاتِ إِلَى اللَّهِ مَرْجِعُكُمْ جَمِيعًا فَيُنَبِّئُكُمْ بِمَا كُنْتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ }
صدق الله العظيم [المائدة:٤٨]
Allah Ta3ala Asema:{Na Lau Angetaka Allah Ange'Wafanya Umma Moja Lakini Ili Awangalie Kwa Yale Alio Waletea Basi Mushindane Katika Herati Kwa Allah Maregeo Yenu Nyote Awambie Kwa Yale Munao Ikhtalifiana Ndani Yake}Sadaqa Allah Al3adhim[Almaida:48].

Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
وتصديقاً لقول الله تعالى:
{وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ لَجَعَلَ النَّاسَ أُمَّةً وَاحِدَةً ۖ وَلَا يَزَالُونَ مُخْتَلِفِينَ ﴿١١٨﴾ إِلَّا مَنْ رَحِمَ رَبُّكَ ۚ وَلِذَٰلِكَ خَلَقَهُمْ ۗ وَتَمَّتْ كَلِمَةُ رَبِّكَ لَأَمْلَأَنَّ جَهَنَّمَ مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ ﴿١١٩﴾}
صدق الله العظيم [هود]

Allah Ta3ala Asema:{Na Mola wako Mlezi angeli penda ange wafanya watu wote wakawa umma mmoja. Lakini hawaachi kukhitalifiana118)Isipo kuwa wale ambao Mola wako Mlezi amewarehemu; na kwa hiyo ndio Mwenyezi Mungu amewaumba. Na litatimia neno la Mola wako Mlezi: Kweli kweli nitaijaza Jahannam kwa majini na watu pamoja(119)}Sadaqa Allah Al3adhim[Hud].

Taratibu Taratibu Ewe Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani, Na Je Amewaumba Allah kwajili Ya Ikhtilafu? Kwani Hakusema Allah Ta3ala:
ألم يقل الله تعالى:
{وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ لَجَعَلَ النَّاسَ أُمَّةً وَاحِدَةً ۖ وَلَا يَزَالُونَ مُخْتَلِفِينَ ﴿١١٨﴾ إِلَّا مَنْ رَحِمَ رَبُّكَ ۚ وَلِذَٰلِكَ خَلَقَهُمْ ۗ وَتَمَّتْ كَلِمَةُ رَبِّكَ لَأَمْلَأَنَّ جَهَنَّمَ مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ ﴿١١٩﴾}
صدق الله العظيم [هود]
Allah Ta3ala Asema:{Na Mola wako Mlezi angeli penda ange wafanya watu wote wakawa umma mmoja. Lakini hawaachi kukhitalifiana118)Isipo kuwa wale ambao Mola wako Mlezi amewarehemu; na kwa hiyo ndio Mwenyezi Mungu amewaumba. Na litatimia neno la Mola wako Mlezi: Kweli kweli nitaijaza Jahannam kwa majini na watu pamoja(119)}Sadaqa Allah Al3adhim[Hud].

Na Jibu Kutoka Muhakam Ya Alkitab Hakuwaumba Allah Ili Waikhtalifiane, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ}
صدق الله العظيم [الذاريات:٥٦]
Allah Ta3ala Asema:{Na Siku'Umba Ma'Jini Wala Binadamu Ila Waniabudu Mimi}Sadaqa Allah Al3adhim[Aldhariyat:56].

Kwahivo Ewe Al'Imam Na Nini Anakusudia Katika Kauli Yake Ta3ala:
بقوله تعالى:
{وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ لَجَعَلَ النَّاسَ أُمَّةً وَاحِدَةً وَلَا يَزَالُونَ مُخْتَلِفِينَ}
صدق الله العظيم [هود:١١٨]

Allah Ta3ala Asema:{Na Mola wako Mlezi angeli penda ange wafanya watu wote wakawa umma mmoja. Lakini hawaachi kukhitalifiana}Sadaqa Allah Al3adhim[Hud:118].

Na Jibu Kutoka Muhakam Ya Alkitab:
{فَرِيقًا هَدَىٰ وَفَرِيقًا حَقَّ عَلَيْهِمُ الضَّلَالَةُ إِنَّهُمُ اتَّخَذُوا الشَّيَاطِينَ أَوْلِيَاءَ مِنْ دُونِ اللَّهِ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُمْ مُهْتَدُونَ}
صدق الله العظيم [الأعراف:٣٠]

Allah Ta3ala Asema:{Kundi Limiongoka Na Kundi Limistahili Ju Yao Upotevu Hakika Wao Wamechukuwa Ma'Shetani Ma'Wali Pasi Na Allah Na Waona Kuwa Wao Waneongoka}Sadaqa Allah Al3dhim[Alaaraf:30{.


Kwahivo Ewe Al'Imam, Na Kwanini Anasema Allah Ta3ala:
يقول الله تعالى:
{ إِلا مَنْ رَحِمَ رَبُّكَ وَلِذَلِكَ خَلَقَهُمْ }
صدق الله العظيم

Allah Ta3ala Asema:{Isipo kuwa wale ambao Mola wako Mlezi amewarehemu; na kwa hiyo ndio Mwenyezi Mungu amewaumba}Sadaqa Allah Al3adhim.


Na Hivo Kwajili Mwenye Lengo Kuu Mja Wa Neema Kuu( 3Abd Alna3im Al'A3dham )Yule Ambae Hakufanya Neema Kuu Ni Wasila Ili Ipatikane Kutimu Neema Ndogo Daraja Ilio inuka Juu Katika Ma'Mubstani Ya Neema;Bali Amefanya Daraja Ilio Ilio Inuka Juu Katika Bustani Ya Neema Ni Wasila Ya Naeem Kuu Akaitiwa Kumpa babu Yake Kujikurubisha Kwa Mola Wake Mlezi Ili Itimu Kupatikane Meema Kuu Kuliko Hio Nayo Ni Awe Radhi Katika Nafsi yake ?Na Hivo Ili Mpaka Awafanye Watu Wote Pamoja Umma Moja Kwenye Njiya Ilio Nyoka.


Taratibu Taratibu Ewe Al'Imam Na Je Unakusudia Kuwa Allah Amewaumba Kwajili Ya Al'Mahdi? Na Jibu Najilinda Kwa Allah kutokana Na Ghadhabu Ya Allah Na Wala Mimi Ila Ni Mja Katika Waja Wa Allah Wema;Bali Kwa Kauli Yake:
{إِلا مَنْ رَحِمَ رَبُّكَ وَلِذَلِكَ خَلَقَهُمْ } صدق الله العظيم،
{sipo kuwa wale ambao Mola wako Mlezi amewarehemu; na kwa hiyo ndio Mwenyezi Mungu amewaumba} Sadaqa Allah Al3adhim,Yani Allah Amemrehemu Al'Imam Al'Mahdi Kwa Kupatikana Kutimu Lengo Ambalo Allah Amewaumba Kwajiliyake Ili Ipatikane Kutimu Neema Ya Al'Imam Al'Mahdi Kuu Kuliko Ma'Bustani Ya Neema Nayo Ni Awe Allah Radhi Ndani Ya Nafsi yake, Na Vipi Atakuwa Radhi Katika Nafsi Yake? Na Hivo Mpaka Awafanye Watu Umma Moja Kwenye Sirat Al'Mustaqim, Wanamwabudu Allah Pekeyake Hawa'Mshirikishi Na Yeye Kitu.


Hivi Huoni Ewe Muhumudi Kuwa Wewe Umemdhilumu Al'Imam Al'Mahdi Dhulma Kubwa? Na Hivo Hao Sisi Tumekukirimu Kwa Hi Bayana Adhimu Ikiwa Wataka Uowongofu Kama Kujaribu Mara Ya Mwisho ili Kukuokowa Ikiwa Sio Katika Mashetani Wa Kibinadamu, Na Tukasmamisha Ju Yako Hoja Kwa Haki Na Kabisa Kuwakitisha Ma Al'Anssar Al'Sabiqin Al'Akhyar Wale Ambao Umiwatigisha Ewe Muhumudi Mtongisho Mkubwa Mno ila Kidogo Kati Yao Na Vipi Asighadhibike Allah Ju Yako Ewe Mahmud Na Fitna Kwa Haki Nayo Ni Zaidi Kwa Allah Dhambi Kuliko Ku'Uwa Katika Kitabu Kuwa Kufitini Mumin Kwa Haki Ewe Muhumudi? Basi Mara Wahojiana Kwa KUjifanya Ni Mwanamke Na Mara Wajifanya Ni Mwanamume! Na Sio Muhimu Kwangu Uwe Ni Mume Ama Ni Mke; Muhimu Kwangu Uwe Umiongoka Kwenye Njiya Ilio Nyoka Basi Umwabudu Allah hana Mshirika Wala Usimtukuze Al'Imam Al'Mahdi Katika Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae Wala Yoyote Katika Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake, Na Je Umipata Ewe Mahmud Kuwa Moja Katika Ma'Nabi Ambao Amefadhilisha Allah Ba'Adhi Yao Ju Ya Ba'Adhi Na Je Umipata Yule Wa Chini Kufadhilishwa Amem'Fadhilisha Wale Alio Wafadhilisha Allah Ju Yake Awe Karibu Kuliko Yeye Kwa Mola Wake Mlezi? Hapna Tena Hapana Bali Wanashindana Yupi Atakuwa Karibu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

تصديقاً لقول الله تعالى:
{يَبْتَغُونَ إِلَى رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ}
صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧]

Allah Ta3ala Asema:{Wanataka Kwa Mola Wao Alwasila Yupi Karibu Na Wanataraji Rahma Yake Na Wanaogopa Adhabu Yake}Sadaqa Allah Al3adhim[Alisraa:57].

Lakini Kwa Maskitiko Watu Wengi Hawamini, Na Hivi Hivo Maskitiko Wale Kidogo Walio'Amini Wengi Wao Ila Wao Mushrikina Kwa Mola Wao Mlezi Waja Wake Walio'Karibishwa, Akasema Allah Ta3ala:
. وقال الله تعالى:
{وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُمْ بِاللَّهِ إِلَّا وَهُمْ مُشْرِكُونَ}
صدق الله العظيم [يوسف:١٠٦]
Allah Ta3ala Asema:
{Na Hawa'Amini Allah Wengi Wao Ila Wao Ni Mushrikina}Sadaqa Allah Al3adhim:106].


Na Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Na Watu Wote Pamoja, Vipi Atakuwa Katika upotevu Al'Imam Al'Mahdi Ambaye Anawalingania Kwa Kumwabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye? Na Je Munaona Pindi Mukinifata Mutapotea Kwa Njiya Ilio Nyoka Kwa Kumwabudu Allah Bila Kumshirikisha Na Kitu, Basi Hamumchi'Mungu Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Wanao'Amini Kwa Al'Quran Al3adhim? Na Je Nawahoji ila Kwa Al'Quran Ya Kiyarabu Ilio Wazi Kwa Mwanachoni Wenu Na Jahili Wenu?! Lakini tatizo lenu Nalo Ni Munakata Kumwabudu Allah Pekeyake Alafu Mushindane Kwa Kumpenda Na Kuwa Karibu Nae Kama Vile Alivo Wamuru Allah Katika Muhakam Ya Kitabu Chake Akasema Allah Ta3ala:
في قول الله تعالى:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَابْتَغُوا إِلَيْهِ الْوَسِيلَةَ وَجَاهِدُوا فِي سَبِيلِهِ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ}
صدق الله العظيم [المائدة:٣٥]

Allah Ta3ala Asema:
{Enye Watu Muamini Na Mumche Allah Na Mutake Kwake Al'Wasila Na Mujitahidi Kwa Njiya Yake Huwenda Mukafaulu}Sadaqa Allah Al3adhim[Almaida:35].
Kwa Mana Kuwa Mutake kwa Mola Wenu Al'Wasila Yupi Karibu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقا لقول الله تعالى:
{يَبْتَغُونَ إِلَى رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ}
صدق الله العظيم [الإسراء:٥٧]

Allah Ta3ala Asema:{Wanataka Kwa Mola Wao Mlezi Al'Wasila Yupi Karibu Na Wataraji Rahma Yake Na Waogopa Adhabu Yake}Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra:57].


Ala Wallah Lau Angeuliza Al'Imam Al'Mahdi Mbabe Mkubwa Katika Wanazuoni Wa Kinasara, Na Niseme: Na Je Waona Kuwa Inajuzu Kwako Kushindana Na Mtume Wa Allah Al'Masi7h issa Mwana Wa Maryam Sala Allahu Aleyhi Wa Ala Umihi Wa Al'Imran Wa Salam Katika Kuwa Karibu Nae? Ange'Towa Sauti Mbele Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar,"Akasema: Na Vipi Wataka Nishindane Na Mtoto Wa Allah Kwa Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae;Bali Mtoto Wa Allah Ndio Ana Haki Kwa Babake Kuliko Mimi; Bali Mimi Namwabudu Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Kujikurubisha Kwa Allah Kwajili Ni Mtoto Wa Allah Ili Anikurubiahe Kwa Allah,"Alafu Nawarudishia Jibu Al'Imam Al'Mahdi Na Nasema: Subhan Allah Al3adhim Kwa Yale Wanao Mshirikisha Wa Ta3ala 3uluwan Kabira!!


Na Hivo Hivo Lau Nigeuliza Mbabe Mkubwa Katika Wanazuoni Wa Umma Wa Kislamu alumiyin Wanaofwata Babu Yangu Al'Nabi Al'Umi Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Ala Alihi Wa Salam: Je Mwaona Yatakiwa Kwenu Kuwa Mushindane Na Muhammad Mtume Wa Allah-Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam-Katika Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae? Hivo Hivo Atatowa Sauti Ju Yetu:"Na Vipi Wataka Nishindane Na Muhammad Mtume Wa Allah-Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam-Mwenye Kushufaia Mbele Ya Allah Siku Ya Dini?! Na Undoka Ewe Mwandazimu". Alafu Anamjibu Al'Imam Al'Mahdi: Na Je Unamwabudu Allah Ama Unamwabudu Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam? Alafu Atarudisha Jibu Kwetu:"Bali Namwabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika".Alafu Anamuliza Tena Almahdi Almuntadhar Mara Ingine Aseme:Na Je Wampenda Muhammad Mtume Wa Allah-Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam-Zaidi Ama Allah? Alafu Anatupa Jibu:"Bali Nampenda Allah Zaidi Kuliko muhamad Mja Wake Na Mtume Wke". Alafu Anamrudia Al'Imam Al'Mahdi: Ala Wallah Lau Ungekuwa Wampenda Allah Zaidi Kuliko Kumpenda Kwako Muhammad Mja Wake Na Mtume Wake Ingekuchukuwa Wivu Ju Ya Mola Wako Mlezi Kwa Wingi Wa Mapenzi Yako Ju Ya Mola Wako Mlezi Na Ungeshindana Na Manabi Na Mitume Wote Katika Kumpanda Allah Na Kuwa Karibu Nae, Ala Wallah Lau Mungekuwa Bado Muko Katika Uongofu Hangetumiliza Allah Al'Imam Al'Mahdi ili Awaongoze Kwenye sirat Al'3aziz Al'Hamid Kwa Bayana Ya Haki Al'Quran Al'Majid, Allahuma Nime'Balighisha Allahuma Shuhudia, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..

Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
Ilisasishwa mwisho: 01-09-2018 01:04 AM